NORTHERNIST
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 304
- 247
kachukue pesa zako zimekataliwaJane umeamua kunitaja kweli? [emoji23][emoji23]
kachukue pesa zako zimekataliwaJane umeamua kunitaja kweli? [emoji23][emoji23]
veeeeeeeeeeeeery goood!Watu wenye mioyo ya kusaidia wapo tu,haijalishi ni nyakati zipi,wala nini walichonacho. Kwa watu wenye choyo kama wewe hili daima litabaki kuwa fumbo
kwa vile una salio la kutosha tuma bas kwa konda msafi amalizie simulizi mkuuHii imenifikirisha sana!
Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.
But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.
Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Inategemea na uliomba kwa lengo gani,, maana kama ulidanganya labda u mgonjwa ulitaka wakutose ili uje hapa tena kusema wanaJF ni watu wa hovyo!!!Hii imenifikirisha sana!
Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.
But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.
Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Ndugu katibu hivi ni kwanini kuna wanaume wamekuwa wabishi namna hii na kuvunja katiba ya chama?Kaka madenge kuna watu huku bado wanatuma na za kutolea😆😆
Nmependa Lips zakoPole sna , tutaweka picha hzo
Nazani Jane Lowassa atatusaidia kupata majina yao🙄Ndugu katibu hivi ni kwanini kuna wanaume wamekuwa wabishi namna hii na kuvunja katiba ya chama?
Si tulisema hela tunatuma kwa mama tu na baba?
Hawa mashankupe "kuna hela tunaiskilia?"
Naomba uchunguze jina la mwanachama huyo nilipate mezani kesho
Ndugu katibu Mnyatiaji
Na arudishe kama anayo hiyo jeuri.kachukue pesa zako zimekataliwa
Hahahaa ahsante Carlos The JackalNmependa Lips zako
Kwa kuzingatia Maajabu ya Uzi huu, nipo tayari.
Ukianza tabia hiyo naenda kukusemea kwa MrNgoja namimi nianze kudanga hp . Jf
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe hao umewatoa chimbo gani, kwenye jukwaa la siasa, utani, chitchat, au mmu
Mji mzito huu.
Nakazia hapa.Nadhani wamefanya yote hayo kukujengea uaminifu ujisahau ili siku wakiamua kukupiga tukio heavy ambalo litakuja kutikisa jf usiwe na hofu yeyote ile kwa kuamini wao ni waungwana. Lol
Nb: Sio wote wengine tu huwa roho zao ni nzuri wanajuaga kusaidia. Teh.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lolKwahiyo kumbe humu kuna wenzetu mnafaidi eeh!!
Wakaka wa watu masikini walijitolea pesa zao kwa moyo wakijua mwenzao ana shida kumbe yuko kwenye utafiti[emoji1787]
Nyie ndio mnasababisha joto linakuwa kali kila siku.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Amefanya sivyo. Ni heri angewarudishia then ndio aje kuleta thread kama hii. Kwa vyovyote vile wahusika lazima wajisikie vibaya [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka km mwehu khaaaah.Wewe labda upo jiefu ya kenya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa vile una salio la kutosha tuma bas kwa konda msafi amalizie simulizi mkuu