Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Unavyopenda pesa Sasa😂😂
Unaangalia majukwaa mbalimbali tu, lakini asilimia kubwa ni kule Intelligence na Sports. Pia kitu muhimu ni kufuatilia michango ya mtu kabla hujamuingia. Ingawa pesa ni tamu sana.
 
Vipi lakini uliwarudishia au?
 
Ni ukarimu tu wa wana JF.......Wewe sio wa kwanza kuomba msaada wa pesa hapa JF
 
Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Kujiita kote lowasa,unauza kimambuchu JF
 
Mbona Mimi ushawahi nipo number yako! Tukawa tuna chart Mara useme upo singida kwenye harusi,Mara useme unafanya kazi kwenye construction company! Sema was 2017 huko
Kuwa na adabu unadhani ukiongea hapa uongo unakusaidia nini? narudia tena kuwa na adabu kama unachokiongea ni kweli sema naitwa nani? Afu usipende kukwaza mtu na story za kutunga.

Note: mtu mmoja humu ndo ana ubavu wa kutaja hata jina langu coz tunajuana nje ya jf ila sio wewe.usinikwaze tena sijawahi andika uongo uongo humu.

Na hata siku ikatokea nimeteleza jf siwezi teleza kwa id za mtu alojiunga 2010 and above. Hiyo haitotokea.

Ati nikakwambia niko singida? Ati nafanya kazi constraction? Are you insane? hivi wewe unajua hata kazi yangu? Kisa nimechangia kule kuhusu kitana ndo uje uzi huu ili uonekane unanijua na kuniongelea uongo?
Umenikwaza sanaaaa usirudie tena aiseee.
 
Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Mkuu usiwaamini hao! Si ajabu ni wana Chadema wasiojulikana wanataka wakupoteze maana wewe ni CCM damu. Ni fita hii mura
 
Ipo siku hizo hela zitakutokea kila palipo na uwazi, kumbuka.
 
Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Wakarimu wapo wengi tu humu, pia inategemea sababu uliyoombea pesa na mtu akakuelewa na kukutumia. Hata wanawake humu wapo waliowakarimu pia
 
1b9633d7-87e7-471a-8a23-b07d3a84b2fb.jpg
 
Usingetumiwa ungefungua uzi "Wanaume wa JF ni maskini na mabahili sana"

Kila kitu anachokifanya mwanadamu ni mtihani kwake.
 
Back
Top Bottom