Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Shukuru Mungu Mashangazi zako ni watu wazuri tena wazuri sana!! wana maisha! naomba unikumbuke!!

Hivi weye Binti Lowasa kwani?? yule Daktari wa Temeke enzi za Asha Maita? Lazima utakuwa na hela tu!.... ila pinguza upole bwana hilo jamaa klitakuwa lina kuonea sana.
 
Tafadhali tunaomba majina yao niwapeleke kwenye kikao cha maadli ya CHAMA CHA WANAUME BAHILI TANZANIA ...CHAWABATA
 
Back
Top Bottom