Ehh npe majina na mm npewee[emoji16]Hii imenifikirisha sana!
Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.
But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.
Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Naweza kupata namba yako nikutumie hela mkuu?Hii imenifikirisha sana!
Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.
But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.
Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Amefanya sivyo. Ni heri angewarudishia then ndio aje kuleta thread kama hii. Kwa vyovyote vile wahusika lazima wajisikie vibaya 😀😀Kwahiyo kumbe humu kuna wenzetu mnafaidi eeh!!
Wakaka wa watu masikini walijitolea pesa zao kwa moyo wakijua mwenzao ana shida kumbe yuko kwenye utafiti[emoji1787]
Nyie ndio mnasababisha joto linakuwa kali kila siku.
Wewe Malaika, nionee huruma .. Izo Lips ni hatare kwa Afya yangu ya KihisiaWewe hao umewatoa chimbo gani, kwenye jukwaa la siasa, utani, chitchat, au mmu
Mji mzito huu.
Angesubiri kwanza na wenzie tufanye utafiti tujiridhishe. Mambo gani haya sasa!Amefanya sivyo. Ni heri angewarudishia then ndio aje kuleta thread kama hii. Kwa vyovyote vile wahusika lazima wajisikie vibaya [emoji3][emoji3]
Mama mkweee....Angesubiri kwanza na wenzie tufanye utafiti tujiridhishe. Mambo gani haya sasa!
Yule Mwarabu wa Kiafrika hataamini.... kinachoenda kumpata leoLEO SIMBA USHINDI WETU
Hakuna kitu kama hicho,wote waliokutumia kwa kuwa wanajua wewe ni ke kwa kufikiria not proved,so wamekutumia iwe kama sehemu ya kukuvuta karibu ikiwa ww ni ke kamili,dada ebu nitumie kidogo hizo japo nipate ya kulipia pango.Hii imenifikirisha sana!
Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.
But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.
Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
Kwa kiasi fulaniKama una kipato cha kujitosheleza na akiba unayo ya kutosha sasa kwanini uliwaomba? Ila kaa ukijua cha mwanamme hakiliwi bure jiandae tu na wewe hiyo papuchi yako itachakatwa style zote hadi uianike kwenye feni kuipooza