Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
5,009
Reaction score
9,208
Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
 
Hao ni wanaume wenye uwezo mkubwa kabisa wa kufikiri kingonozz
 
Kaka madenge kuna watu huku bado wanatuma na za kutolea😆😆
 
Nadhani wamefanya yote hayo kukujengea uaminifu ujisahau ili siku wakiamua kukupiga tukio heavy ambalo litakuja kutikisa jf usiwe na hofu yeyote ile kwa kuamini wao ni waungwana. Lol

Nb: Sio wote wengine tu huwa roho zao ni nzuri wanajuaga kusaidia. Teh.
 
Kwani Jane Lowassa una asili ya India kwenye Polyandry??

Una ujasiri, kuomba hela kwa vijeba 5 kwa pamoja. Wakiomba date kwa pamoja inakuaje??😀😀😀
 
Back
Top Bottom