Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Kwanini wanaume JF wepesi sana kutuma hela?

Nilimtumia laki MOJA na ishirini
Na inbox akaniblock
Ila haina shida malipo hapa hapa jf
Code zinafunguka taratibu taratibu
Kati ya wale watano mmoja huyu hapa
Mliobaki mkujeee tuwajue
 
Hii imenifikirisha sana!

Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kupiga mizinga, kwasababu nina kipato cha kujitosheleza na kubaki akiba kubwa tu.

But last week nikaona nijaribu kuomba watu kadhaa hela kama kuwajaribu tu. Huwezi kuamini, yaani bila hata wao kuwaza mara mbili mbili, wale watu wote 5 walituma hela kwenye simu yangu. Na kilikuwa ni kiasi kikubwa tu cha pesa kwa usawa huu wa Magu.

Swali ninalojiuliza: Inakuwaje katika nyakati hizi za ulimwengu wa mitandao ya kijamii, mtu anakuamini kirahisi rahisi tu na kukutumia pesa zaidi ya laki 1 bila hata ya kuwa anakufahamu? Je JF tuna ukarimu mkubwa kiasi hicho compared to other platforms?
kumbe tupo watu wa aina tofauti sana
 
Back
Top Bottom