Kweli fainali uzeeniNdiyo. Kuna mzee alikuwa akimpiga sana mkewe kipindi akiwa na nguvu. Uzee akapalalaizi upwnde mmoja akawa hajiwezi.
Mkewe akaanza kumsulubu mpk ukiona mateso yale, unaona hata ukatili wa shetani una nafuu. Acha kabisa!
Umaskini tu unachangia yoteSababu kubwa inayotuua wanaume Hasa vijana
1.CHAKULA MARA 1
2.POMBE KALI
3.KAZI NGUMU
4.WANAWAKE WAZEE
Huchomoki ovr 40yrs
Kikubwa ni tutafute pesa tukiwa wazee tusitegemee misaada ya watotoNdo ukute mzee enzi akiwa na nguvu alikuwa mnyanyasaji, show atakayopewa atafurahi na roho yake
Kwa kawaida mwanamke anaumiza Sana kichwa wakati wa kutafuta mume. Akishampata na akaolewa anaingia ktk likizo ya maisha.Wanaume tunafikiria sana ubongo unachoka wanawake unaweza kukuta kuanzia asubuhi hajawaza kitu cha kumoasua ndonga..kingine wanaume mihamala too much inatusubiri too much control number [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa mnoko kama sisi, lazima uhakikishe unawekeza ili ufaidi uzeeni. Ni ujinga kutowekeza maana unapostaafu sema at 60, ukipata pension yako haraka unaibwaaga BoT. Hutategemea vihela vya watotoNdo ukute mzee enzi akiwa na nguvu alikuwa mnyanyasaji, show atakayopewa atafurahi na roho yake
Ndivyo tulivyofanya, bwashee ili mitoto hasa ya kiume isitunyanyaseKikubwa ni tutafute pesa tukiwa wazee tusitegemee misaada ya watoto
[emoji28][emoji28]Wanaume tunafikiria sana ubongo unachoka wanawake unaweza kukuta kuanzia asubuhi hajawaza kitu cha kumpasua ndonga..kingine wanaume mihamala too much inatusubiri too much control number [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakazia...na bangi nyingiSababu kubwa inayotuua wanaume Hasa vijana
1.CHAKULA MARA 1
2.POMBE KALI
3.KAZI NGUMU
4.WANAWAKE WAZEE
Huchomoki ovr 40yrs
Kikubwa ni kujikujipenda zaid ss wnyewe (wanaume) kwanza, kutoruhusu stress zisizo za lazima, kujipa wakat wa kuburudisha nafsi zetu.....bila kuathiri majukum yetu kwa familia.....hakika tutakufa wakat wa Mungu.Duh kweli bhana, wengine tumeanza kuexperiece tunajiliwaza mitandaoni akili isizimike.
Kuna projects moja enzi hizo ndio nimetoka chuo kwenye team tulikuwa na wazee , mda fulani wa jioni baada kupiga masanga. Wale wazee wakaniambia dogo hakikisha una account yako ya kutunza hela zitakazo kulea uzeeni ambayo mke wako haijui na kuna mmoja akasema ana nyumba yake ya siri ambayo mke wake haijui nikasema duu haya mapya.Wanaume kama umebahatika umeajiliwa na ukafikia kustaafu,usifanye kosa
kutumia mafao yako kujenga nyumba n.k
weka pesa yako kwenye mifuko ya akiba kama vile UTT na benki kuu
siku nguvu zikiisha hata kama mkeo hakupendi atapenda pesa,utatunzwa hadi umauti ukukute,
Tatizo kubwa linalowakumba wanaume,mshahara wote unatunza familia.
unasomesha watoto,unashindwa kujenga nyumba ya ndoto yako.
kununua gari ya ndoto yako,ukipata mafao ya uzeeni unajenga nyumba na kununua gari
na pesa yote inaisha,unaanza kulaani watoto kwa kutokukutunza.
Ni kweli watoto wana wajibu wa kuwatunza wazazi wao,ila
wanaume tujitahidi kuweka akiba,tusijisahau.
Hila siku hizi mambo ni kinyume wanawake nao wanakufa na mikopo Yao kausha chupiNyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka.Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake.Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita.Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko sisi,lakini ni jibu lisilojitosheleza.Wanaume tunakufa mapema mno japo kifo ni ahadi.Sababu nini hasa?
Mkopo unauaje?Hila siku hizi mambo ni kinyume wanawake nao wanakufa na mikopo Yao kausha chupi