Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

 
Aisee!
I thought it is less of this that kills men prematurely!
Wengine wanasemaga ukipiga mzigo wa uhakika eneo hili hakuna cha tezi dume, wala homa..😊
 

Hiyo namba 2 ni ujinga
 
Ni kawaida hiyo, hata mifugo nyumbani....Unakua na jogoo mmoja kwa mitetea 8-10, dume moja la mbuzi kwa majike kadhaa. So ni asili tu chief.
 
umri wa kuoa na kufanikiwa kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke ...

mwanaume akiwa na 28~35 ndio huwa tayari wanakua kiasi wanakazi za kulisha familia.

wakati mwanamke muda ukifika wa 18 anatakiwa kuolewa kwahyo kwa sababu ya wimbi kubwa la wanaume kuchelewa kupata kazi wamejikuta wameoa wanawake wamewazidi umri kuanzia miaka 5 mpka zaidi kwa sababu wanaume walio sawa na wanawake hawawezi kumudu majukumu yao hivyo inawalzamiu kuwa na mahusiano na watu waliofanikiwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…