Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

1. Mawazo
Hiyo ni sababu ambayo mwanamke anaweza akimaliza kupitia kulia(machozi),kukupiga kwa namna yoyote, n.k
Lakini mwanaume yeye yanaishia moyoni, na hata hivyo inapelekea kufa mapema
 
WANAUME WANAMUFA SANA KULIKO WANAWAKE NI KWA SABABU WANAWAKE HAWAJAO WANAWAKE.sijui mmenielewa lakinj?
 
Research gani inaonyesha wanaume wanakufa mapema? kwa kiwango gani?
Katika kutafakari kwangu mie naona hata wanawake wengi tu wanakufa.... tena wanaanzia umri mdogo... wanatoa mimba, wanazaa kwa shida, wanaugua, wanajiua, wananyanyasika zaidi ya wanaume. Wanaume wanazaliwa wachache zaidi ya wanawake ndio maana wakifa tu pengo linaonekana. Wanawake wanazaliwa weeengi munoooooooo .... hata wakifa lile pengo halionekani.

Jaribu kuchunguza mwanamke anapokufa tu... hapo hapo nafasi yake inachukuliwa na mwanamke mwingine na hutaona mwanamume amebaki mjane... ni wachache sana! kwa hiyo pengo la kifo cha mwanamke huzibwa fasterrrr!!!! Kazi inakuja akifa mwanamume..... hakuna wa kuziba pengo... mjane anabaki anashangaa tu hakuna hata wa kumsogeza!.....
Mkuu uko sahii kabisa
 
Tunapunguza sumu kwa kwenda juani,nyie sijui mpaka mpigwe nondo ya kichwa ndo mnableed
 
Wanaume tunafanya kazi ngumu sana,hata hao ulio wataja hapo uwe ofisini au sio ofcn unatumia akili nyingi kuhakikisha maisha ya familia au ofisini yanaendelea, hao wanawake ulio wataja hapo chunguza kazi zao
 
Inasemekana maswala kama ya Umalaya, kuchanganya damu za wanawake tofauti tofauti, ulevi, kazi ngumu, misongo ya mawazo n.k

Sasa yakitokea kwa pamoja hayo kwa wakati mmoja ni shida.
 
ukienda vijijini ndo utashangaa hakuna mababu kama zamani,kijana wa kiume unapambana kumlidhisha mwanamke,unatafuta pesa sana ili mke wako asiliwe na wengine,kumbe unajiuwa kwa stress,unamjazia nguo begi nzima ili apendeze wewe mwanaume unashindia moja,akitoka nj'ee anakutana na wajanja wanakula vyao.unamnunulia gari anatembea na boda boda😛
 
kama unatafuta pesa za kumnunulia mkeo nguo, gari, matumizi ili "asiliwe" utakufa mapema mno.
huyo ni binadamu mwenzako, hachungiki. kama mna interest nyingi zinazofanana na mnaelewana endelea kuishi nae, usitafute anayofanya wakati haupo. stress ni state of mind unayojitengenezea mwenyewe na itakuua
 
Sababu zipo nyingi ila nafikiri sababu kuu ni kwamba mwanaume muhangaikaji mkuu wa familia. Hivyo inampelekea kua na interaction kubwa kati yake na mazingira yote hatarishi, hivyo maradhi na ajali vinakua havikwepeki kwa mwanaume. Mfano nenda k/koo jioni 87% ya abiria ni wanaume nenda migodini na sehemu zote zenye mazingira hatarishi 90% ni wanaume
 
After they success in bulling you,next step is killing you.but how? still a secrets,
Nature inaonyesha mwanamke ukishapata nyumba,gari zuri,biashara za uhakika zimefunguliwa pia akishapata watoto 3 au 4, HUWA HAKUITAJI TENA WEWE mwili wake huitaji wanaume wengine kabisa,ambao wanahaiba ya starehe na kujirusha,we we hapo nyumbani utakua unambore tu.hufanya kila aina ya hila hasa hapa uanza kuwa karibu na vibibi vizee ili vimpe slow killing poison,hupewi sumu ya kufa kwa ghafla no,its about slow killing poison (suala hili sio la wanawake wote Bali baadhi tu)
 
Siji kuoa
 
Iwekewe lamination please, ila si wanawake wote wapo hivyo. Wengi wa hao ni Wacha--g*a, sasa wewe umejumuisha wote.
 
After they success in bulling you,next step is killing you.but how? still a secrets,
Nature inaonyesha mwanamke ukishapata nyumba,gari zuri,biashara za uhakika zimefunguliwa pia akishapata watoto 3 au 4, HUWA HAKUITAJI TENA WEWE mwili wake huitaji wanaume wengine kabisa,ambao wanahaiba ya starehe na kujirusha,we we hapo nyumbani utakua unambore tu.hufanya kila aina ya hila hasa hapa uanza kuwa karibu na vibibi vizee ili vimpe slow killing poison,hupewi sumu ya kufa kwa ghafla no,its about slow killing poison (suala hili sio la wanawake wote Bali baadhi tu)
Mmmmmmh! Hatari, kwa hiyo hawezi kupata hiyo sumu kwingine isipokuwa kwa vibibi tu? Kuna nini nyuma ya pazia kwa hivi vibibi??
 
JIBU FUPI TU! KWA SABABU KILA UNACHOTAFUTA NI KWA AJILI YA MWANAMKE..!
 
After they success in bulling you,next step is killing you.but how? still a secrets,
Nature inaonyesha mwanamke ukishapata nyumba,gari zuri,biashara za uhakika zimefunguliwa pia akishapata watoto 3 au 4, HUWA HAKUITAJI TENA WEWE mwili wake huitaji wanaume wengine kabisa,ambao wanahaiba ya starehe na kujirusha,we we hapo nyumbani utakua unambore tu.hufanya kila aina ya hila hasa hapa uanza kuwa karibu na vibibi vizee ili vimpe slow killing poison,hupewi sumu ya kufa kwa ghafla no,its about slow killing poison (suala hili sio la wanawake wote Bali baadhi tu)
APROX. HAO WATOTO 4 NA BIASHARA NZURI KIPINDI HCHO ATAKUWA NA UMRI GANI NA YY?
 
Back
Top Bottom