Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

After they success in bulling you,next step is killing you.but how? still a secrets,
Nature inaonyesha mwanamke ukishapata nyumba,gari zuri,biashara za uhakika zimefunguliwa pia akishapata watoto 3 au 4, HUWA HAKUITAJI TENA WEWE mwili wake huitaji wanaume wengine kabisa,ambao wanahaiba ya starehe na kujirusha,we we hapo nyumbani utakua unambore tu.hufanya kila aina ya hila hasa hapa uanza kuwa karibu na vibibi vizee ili vimpe slow killing poison,hupewi sumu ya kufa kwa ghafla no,its about slow killing poison (suala hili sio la wanawake wote
 
2. KUFANYA MAPENZI
Katika tendo la ndoa mwanaume anatumia nguvu nyingi saana kuliko mwanamke, wakati wa tendon lenyewe na wakati wa Ejaculation,(kumwaga) mfana wadudu kama nyuki hufaa baada ya tendo, na wanyama wengine pia maisha yao ni mafupi kutokana na mapenzi just my views
Aisee!
I thought it is less of this that kills men prematurely!
Wengine wanasemaga ukipiga mzigo wa uhakika eneo hili hakuna cha tezi dume, wala homa..😊
 
Habari ya jumapili waungwana!

Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi ,na wanasaikolojia wore wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!

Ndipo nikarejea katika uhalisia babu alishakufa bibi yupo, mwalimu Nyerere alishakufa mama Maria yupo, Mgabe,Mkapa, Magufuli,Mobutu, kulola Was EAGT,Mwenisongole wa TAG NA Wengine humu tuna akina mama baba zetu walishatangulia na wake zao bado wapo nini tatizo kwa wanaume.?

Hiyo namba 2 ni ujinga
 
umri wa kuoa na kufanikiwa kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke ...

mwanaume akiwa na 28~35 ndio huwa tayari wanakua kiasi wanakazi za kulisha familia.

wakati mwanamke muda ukifika wa 18 anatakiwa kuolewa kwahyo kwa sababu ya wimbi kubwa la wanaume kuchelewa kupata kazi wamejikuta wameoa wanawake wamewazidi umri kuanzia miaka 5 mpka zaidi kwa sababu wanaume walio sawa na wanawake hawawezi kumudu majukumu yao hivyo inawalzamiu kuwa na mahusiano na watu waliofanikiwa .
 
Back
Top Bottom