Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Tena wanafanana kweli na watu wa Tanesco huwez kuwatofautisha alafu hawajui kutongoza kimahaba yeye akikuita tu basi ukienda anahisi tayar na mzigo unatoa bila mahaba

hahahah wana njaa sana
na huwa hawapendezi hata wakivaa casual. unakuta kavaa t.shirt ndefu kama kanzu.
 
Dah mnakuaga washamba kishenzi.

Kuvaa kuongea na kila kitu. Kama katokea mkoani ndiyo shida kabisa.

Yaani hata mimi wa kidato cha sita nimewapita.
Kuna engeneer hapa Mwanza nilisoma nae O level aiseee ni shida sana ana majisifu kweli,,, hata kuoa eti alichelewa sababu ya shule.
 
Mkuu wewe tokea dem yeyt mwambie tu am an engineer bac kwisha hbr we itakuwa upo busy na first class GPA
 
since university sisi wa CoET mademu hawakuwa na time na sisi kabisaa
HAMKUA NA TAIM ZA KUJIRUSHA MUDA WOTE MPO BIZ SANA AU NIMEKOSEA HALAFU NASIKIA KUA HAMPO ROMANTIC WAKATI WOTE MNAFIKIRIA KAZI TU, NA KUUMIZA KICHWA
 
Tatizo lipo kulingana na engineer meenyewe.
1.Electric engineer
Hawa tatizo lao hawajui kutomasa na hata wakijua vidole vyao vigumu na vinasugu kutokana na short na moto.
2. Mechanical Engineer
Hapa ndo Luna maboya usipime na hawa wanawake saiz yao ni Malaya wenye moyo WA kuvumilia ukomavu wao.
3.Civil engineer
Naeza watukana ila basi tu ,hawana makazi mikono imekomaa na mda wote wamechoka,wanapotoka na madem zao huwaangalia SAA zote na hupendelea kuwa nyuma,Mara nyingi wanayoyaongea sketch tu.
4.Software/computer engineer
We mdada utaeangukia kwa hawa jamaa sala zako zutakusaidia ,hawa na wale WA IT ni wapiga punyeto usipeme waangalie vizuri utaona shingo imepinda kulekea chini kidogo.
 
usichanganye carrier na personality za watu, kuna ma mtu physics yaliacha form one lakini ni machafu utadhani yanafanya kazi mamlaka ya maji taka tu
 
Back
Top Bottom