Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

usichanganye carrier na personality za watu, kuna ma mtu physics yaliacha form one lakini ni machafu utadhani yanafanya kazi mamlaka ya maji taka tu
[emoji6] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji4] [emoji4]
 
Tena wanafanana kweli na watu wa Tanesco huwez kuwatofautisha alafu hawajui kutongoza kimahaba yeye akikuita tu basi ukienda anahisi tayar na mzigo unatoa bila mahaba
Ani injinia akikuita kwenye kidate ukikubali kwenda, shave kabisa otherwise usiende[emoji1] [emoji1]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Angalia wasije wakakupiga na bisibisi alafu nimekumbuka wanapenda kweli kutembea na bisibisi kama first aid za kwenye mabasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya majungu siyo ya nchi hii
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Ni kipa umbele na siyo kipaombele!!!
 
3.Civil engineer
Naeza watukana ila basi tu ,hawana makazi mikono imekomaa na mda wote wamechoka,wanapotoka na madem zao huwaangalia SAA zote na hupendelea kuwa nyuma,Mara nyingi wanayoyaongea sketch tu.
AutoCAD na ArchCAD sio ya mchezo mchezo boss
 
Back
Top Bottom