Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]True hapa nilipo nakaa na maengeneer wanafanya Kazi site Moja hivi muda wotee mabuti na maelement na makoti yao ya kung'aa Kama taa za barabarani

hahaha sasa inakua ngumu kuwatofautisha na wale wabeba nguzo wa tanesco wa porter wa kupanda mlima.
 
Hapana mkuu, yaani wengi niliowaona (japo ni ndugu zangu) ni walevi, halafu wako serious sana, yaani wakimya mno na hawana story
hahahahaa hio hataree japo hata mimi pombe nakunywa
 
Hongera sana mkuu mm nilipata course work kimini hatarii cl ilikua maneno mengine ile kitu
Balaa ilikuwa bila course work ya 16 paper hupigi na mimi nkagotea hio 16
 
Back
Top Bottom