Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanza mko serious sana, wakimya mno, halafu mnajisikia kama nini, hakuna kucheka ni amri tu, hivyo hamjui kufuata formula za kutongoza kazi ulevi tu
 
MaEngineer tunaleta principles ngumu kwenye mapenzi,wakati mwingine mapenzi ni uongo, sasa engineers kutengeneza uongo ni mgumu sana, tunadeal na facts.
 
Hahahahaa hizo ni Fikra za wadada wengi wanaamini Ma engineer ni magenius kumbe sio!
Ni kweli mm nimewazalisha sana na huwa wananiomba wao wenyewe niwatie mimba tu ila watoto watawalea wao wenyewe, na watoto wote ni ma genius wa ukweli. ..
 
Wanawake hatupendi watu ambao wako too serious. Mwanaume muda wote unawaza kazi tu, ndio maana wanawake hatuwapapatii. Na pia mjaribu kuwa romantic kama hatujawakimbilia. Ni jinsi tu unavyojiweka ndio mwanamke anaweza kukupenda au lah, but its not about carrier.
 
kwa sababu mnashinda site muda mwingine hadi usiku.
 
kweli mkuu inatengemea na na eneo ulilopo kuna wtu wa aina gani hasa wanakutana

mwenyewe ni mchoma mkaa watu wanaonishobokea ni wale ambao wanaendana na hali ya hali na uingilianaji na kazi yangu
 
Nilidate engineer long time kitambo. Hawajui kuremba wanakwenda straight to the point. "Mimi ninakupenda wewe unasemaje?"
Yaani vile wanavyofanya equations za physics na hesabu ndivyo wanavyotongoza.
kupiga saundi inategemea ntu na ntu, mie napiga saundi nikianza kuflow hata computational fluid dynamics haiwezi kunisoma jaribu uone
 
Kwahiyo hata wanawake ambao ni maengineer wenzenu hawawashobekei
Mke engineer ataolewa mtu sawa na status yake au juu zaidi c unajua wanaume wanaangalia wa chini yake ili asimsumbue[emoji4]
 
Utakuta ni katoto ka mwaka wa kwanza au wa pili hapo UDSM hakana mbele wala nyuma eti kanajiita engineer wakati probably mwisho wa semister to hapo katadisco.....
 
Back
Top Bottom