Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Awe smart na lugha laini, wengi wako rafu hadi kuongea na ulevi umewazidi.Hhaha basi mpe maujanja injinia mwenzako aliyeanzisha huu uzi.
SwirrrWanawake hatujawahi jua tu kama na nyie mna hela inawezekana kuliko hao wengine. Toka niwe karibu na engineers (civil) nimetamani hadi kudate engineer maana mnalipwa vizuri jamani.
Una point kwelisomehow true
Faculty of Engineering (FoE) Haipo mimi nilimaliza panaitwa CoET nafikri mpaka sasa ni CoEt
[emoji4][emoji4][emoji4]Swirrr
Wako busy sana na kusafiri safiriMainjia hawana mapenzi muda wote wapo busy
Nachapiwa mke wangu, kisa nashinda sana site..!demu au mke boss
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Si mlikuwa mnavyo tuonewa binadamu wenzenu kwa kutuzidi marks darasani mnajitapa hamuwezi soma longolongo ,sasa mademu wanataka longolongo leta hela sio ma-calculas
hahahahaa mkawa mnafaidi vizuri sio
Unataka mwanamke akupende wewe au aipende career yako?
Nadhani majibu yapo kwenye komenti hizi[emoji3][emoji3]Uwe unatembea na vifaa vyako vya kazi uone ugumu unatokana na nn
Mimi Nakupenda hivyo hivyowallahi najirekebishaa soon