HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
View attachment 2537383
Hayo maswala ya labour relations kwangu ni kama maji, hivyo vitu nimesomea na navijua na navifanyia kazi kila iitwayo leo.

vile vile narudia tena humu tuache kudharau watu humjui mtu unakurupuka kuleta ujuaji.

Hizo ni baahi ya tools tu.. Kuna Guidelines zingine zipo kwenye makablasha.

Jitahidi kuwa humble bro.
Wewe umejaza acts tupo unasema unajua issue za labour? Unajua Kuna kazi ya labour officer( afisa kazi)? Unayajua majukumu yake? Acha acts ni 1% ya labour issues
 
Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.

Unajua ni kwanini?

Ktk hii michakato kuna siasa.

Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.

Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?

Kuna Madudu sana huko
hawasomi vipi? kuwa recruited maana yake una vigezo.

serikali ilitoa experience .i.e 2,3,5 ambacho kilikuwa kinawaacha graduates wengi kukosa ajira.

ndo maana kazi nyingi (Entry level) unazoona huko portal wakiwatangazia hazina experience.
 
Kaka nakutolea mfano katika interview ya TRA kuanzia written mpaka oral staff wa TRA walikuwepo kusimamia. Katika pannel ya oral watu wa utumishi walikuwa na kazi ya kufuata watu kwenda kwenye hall la interview na mmoja aliyekuwepo ndani alikuwa kama katibu, the rest walikuwa ni staff wa TRA. (Na hii huwaga ipo hivi kwenye kada zote) sasa unasemaje wanapelekwa watu vilaza ikiwa waliohusika kwenye interview ni hao hao?
huyo dogo kavimbiwa maharage.
 
Nilikuw nanuwezo wa kutaja taasis yoyote ile.. Na ikaw evidence kwenu (Tomaso) siwez taja ni taasisi gani exactly inayolalamika.

Endelea na hiyo mentality ya utomaso.
sio kutaja tu,uweke na evidence toka kwa watu hao.

kusema tu eg udsm haimaanishi hilo jambo ni la kweli,psrs ina watu wa kila namna walioaminiwa na taasisi nyeti.
 
Poa poa Mwifa,jamani mimi tokea udogoni mpaka namaliza bachelor ,sisikii vizuri na Nina tatizo la miguu.

Mpaka nimefika oral kweli ,nimepambana haswa Siyo kitoto.

Ni maombi yangu watanifuta machozi ya muda mrefu.
Mungu akakutete mkuu, naamini pia ulianisha taarifa zako vizuri pale zilipohitajika. Na vithibitisho unavyo kutoka kwa daktari, watakuzingatia tuu.
 
Lecturer ni anaye fundisha so hapo naandika kwa lugha ya kitaa mtu ambay ana akili timamu ataelewa namanisha nn wa kizaz cha sasa ila kama cha zamani lazima usielewe kama ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukiwa unajiita msomi lazima uweze kujitofautisha na mtu asieenda shule.
 
ukiwa unajiita msomi lazima uweze kujitofautisha na mtu asieenda shule.
Inategemea ndugu yangu mm na elimu yangu, ila nipo nao kitaa wanangu, najichanganya nao, naongea nao lugha moja napo kuwa nao na piga nao dealz pamoja inapo bidi, ila nikiwa na wa somi pia naangali namna nzuri ya kuish nao ila siwezi jitofautisha nao kaka ndo maisha yangu yapo ivo, mm nachange kulingana n mazingira nikiwa officn bac usitegemee kuon lugha yoyote ya kitaa kutoka kwangu, ila ukinikuta mtaani na wanangu najichanganya nao.
 
Back
Top Bottom