Naona mmehama kwenye mada,
Tunachopigania sio taasisi kuajiri wala nn ila hivi ni kweli kabisa sisi wasomi na digrii kikawaida kusema mchakato wa ajira umekuwa mrefu kiasi kuwa mtu anaomba kazi mpaka anasahau,anaitwa interview usiku wa manane then akimaliza asijue hatma yake ni ipi.anyetetea kusema ni michakato akasome muongozo wao...ukiona ajitmra imetangazwa basi kibali kipo tyr na fungu lake lipo tyr(kwa mujibu wa muongozo)ndio maana serikali kupitia bunge waziri wa fedha lazima aseme mwaka huu tumekusudia kuajiri watu kadhaa na kiasi flan cha pesa kitatumika kwenye ajira hizo mpya na wabunge wanaridhia bajeti inapita,then itokee watu wakae mwaka mzima tuseme et ni mchakato kwamba pesa ilipitishwa hewa au.
Jana nilisema ukiona kiongozi wa juu nae kalalamika badala ya kusolve tatizo basi ujue kuna shida sehemu.kauli nyingine ni za kupeana moyo tu ila uhalisia wanasiasa wanatuzingua sana hasa kwenye mambo ya msingi.
Ishu sio taasisi siajiri zenyewe inshu ni nini utumishi wanaficha kuhusu hizi saili??kwa nn uwazi usiwepo tu mapema kama mtu kakosa au amepata??na ikiwa utumishi hamna shida why mkuu aliwasema tena kwa malalamiko??ikiwa hamna shida kwao why wakubali kila siku kubeba lawama kwa kauli za wakubwa wao ikiwepo hii ya juzi ya mheshimiwa mhagama?