Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,958
Mzee bado upo na mimi?At the end you have come to my point, kama ni nadharia huku takiwa kuleta issue sensitive kama hii hapa, huenda ata inge ku cost.
Mzee bado upo na mimi?At the end you have come to my point, kama ni nadharia huku takiwa kuleta issue sensitive kama hii hapa, huenda ata inge ku cost.
Bac nakuachaa🚶♂️🚶♂️🚶♂️.Mzee bado upo na mimi?
No search (evidence) no right to speak usidanganye umma.Usidharau mtu ndg hasa humu ktk jamvi. Hatuko sawa kama vidole.
Naomba hicho kipande niwekee hapa cha muda wa utokaj wa placement.Uliambiwa ni makadirio kuanzia week 3, unaelewa maana ya makadirio.
Tatizo sio kutokuaminika kwa psrs, hii ni kuleta flexibility katika mchakato na kupata watu competent kulingana na hitaji la muajiri.Umeona sasa. Kama PSRS WANAAMINIKA why vyuo vijitegemee ktk sahili na psrs wawe facilitators?!
Zipo, siwez taja hapa.. Tatz ni kubwa mno.
Kasome ww mwenyew, tena mm nikusaidie, ww ndo mwenye shida.Naomba hicho kipande niwekee hapa cha muda wa utokaj wa placement.
Nilikuw nanuwezo wa kutaja taasis yoyote ile.. Na ikaw evidence kwenu (Tomaso) siwez taja ni taasisi gani exactly inayolalamika.No search (evidence) no right to speak usidanganye umma.
Wewe kuwa mvumilivu na subra itafika wakat wako utapata kazi
Nimeuliza je hao waliopo database mwajiri anahusika nao moja kwa moja?Tatizo sio kutokuaminika kwa psrs, hii ni kuleta flexibility katika mchakato na kupata watu competent kulingana na hitaji la muajiri.
Hujui unachoongea na hujawahi kukutana na waajiri we endelea kwenda Dodoma tu ukajibu types of, list, define.Hata sample za maswali aina hii hayana "relevance" yoyote ile katika kupima umahiri wa msailiwa.
Maswali hayo watu hukariri majibu na kwenda kutema mbele ya panel, sio kipimo sahihi kabisa.
Mzee wewe si mtaalam wa Evidence na sources? Leta hapa maandishiKasome ww mwenyew, tena mm nikusaidie, ww ndo mwenye shida.
Yes umeongea point.
Pia navyojua maswali hayatakiw kuw uniform kuna baadhi yataingiliana ila maswal yanatikiw yawe tofaut kulingana na CV ya mtu. Hiyo ndio standard ya dunia nzima. Ila hapa TZ ni upuuzi unaendelea
Hapo sawa kila mmoja asimame anakotakaNi nadharia.
Mtu kama upo Private sector ktl taasisi kubwa na ulipita kwa usahili utaona kbs mapungufu ya PSRS. ila haw ndugu wa kujitolea ktk halmashauri hawataelewa unazungumza nini. Exposure 0%Hujui unachoongea na hujawahi kukutana na waajiri we endelea kwenda Dodoma tu ukajibu types of, list, define.
Amen kaka[emoji1431]Tangu juzi nilitaka nikuulizie ila nikakumbuka kuwa uko busy, nikatulia..
Nafurahi kukuona upo imara na mapambano yaendelee.
Wewe unataka waulize maswali kulingana na taarifa za C.VNdugu.. Ndio maana nikasema waajiri wanalalamika kupelekewa vilaza.
Lini uliulizwa swali kulingana na ulichoandika ktk Cv? Au hujawah ingia oral za psrs?
Mie juzi tu nimefanya Interview ktk hizo NGO'S sahili unaingia unaulizw kbs upo comfortable na hii panel? Unasaini agreement then wanaanza kukuuliz maswal kulingana na cv yako na maswal yao mawil matatu ya kukupima Intelligence basi.Nchi za nje interview unafanyiwa unakuta panelist hawazidi 4 sometimes 3 tu. Bongo unakutana na watu hadi 7 wote wanamuinterview mtu mmoja. Kuna watu wanaloose confidence kabisa.
Nilifanyaga interview kwenye international organization moja hv, kwanza nimeingia nikakutana na wazungu 2 na wabongo 2. Mzungu 1 alikua mwanaume akaniletea maji ya kunywa, mama mzungu akawa ananipigisha stori za kiswahili tukawa tunacheka sana. Baada ya hapo tukaanza interview
Maswali yao ni simple tu hawana mambo mengi. Ila bongo ni nyoso unakutana na mtu anakufanyia interview kanuna balaa[emoji23]
Usipotingwa sana uwe unakuja kutia neno hapa ili tujue kama tupo pamoja na mwenzetuAmen kaka[emoji1431]
Ndio standard duniani hiyo nikupe taarifa sasa.Wewe unataka waulize maswali kulingana na taarifa za C.V
Yaan natamani sana, ila nkitoka asubuhi ndo mpaka usiku narudi tu nalalaUsipotingwa sana uwe unakuja kutia neno hapa ili tujue kama tupo pamoja na mwenzetu
Hapo kwa database binafsi siwaungi mkono psrs, naona ni aina tu ya mwanya, kuruhusu upendeleo, haiwezekani aliyetoka database kwa post ya katibu msaidizi wa bunge, kwa kua alifaulu, umpangie kazi ya uhasibu taasisi x, hii sio sawa.Nimeuliza je hao waliopo database mwajiri anahusika nao moja kwa moja?