HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yeaah kabisa, embu nifungue macho apo kwa FIFO kidogo ka summary.
Hiyo ni terminology ya watu wa procurement...

FIFO=First In First Out.

LIFO=Last In First Out.

Kikubwa kama nafasi zingekuwa za kutosha na umewakanda PSRS ingekuwa wanachukua watu kwa mpango huo wa hapo juu.

Ila kikubwa ni ikiwa una degree yako, haya mambo unafanya tu, hata wakikupa bila interview....
 
Comment za humu ukizisoma kama hujafanya usaili na hujapata kazi kupitia psrs unaweza usiende kabisa dodoma ukijua kazi Zina watu kumbe walaaa
20230304_220233.jpg
20230304_220233.jpg
Yaah, uzuri ni kila taasisi ina mazuri yake mengi na changamoto chache, nimepitia ukarasa wao wa insta, nimekutana na success story.

Pia wanaendelea na ujenzi wa ofisi ya ukandaji.

Mimi nitasimama na utumishi.
 
Ss km Maswali ni haya haya yakujirudia uoni kabsa itafika muda yatazoeleweka na itakuwa ni Kazi Bure Tu. Bora hiyo ya kumention & explain Maswali yanatoka km suprise inakuwa ni vyema .

Na ukichokiandika kiuhalisia ni General Questions about interviews ambayo yanauhusiano na Kada usika Yani mtu wa ICT , Accounting, Economics wajibu kitu kile kile [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa itakuwa na maana gani
Jamani mbona mnashindwa kutumia akili? Mwajiri A ni AIRTEL akikuuliza ' Why should we hire you'? majibu yake ni tofauti na mwajiri B ambaye ni AZAM.

Ni maswali yanahitaji mtu anayejua siyo anayekremu definition, kwani hamjawahi kufanya interview tofauti na PSRS ?

Mbona mnakuwa kama hamjaenda shule?

Hebu cheki hata onine hapo basic interview questions, hata ukiitwa interview UMOJA WA MATAIFA utaulizwa maswali common ya interview duniani.

Interview sio mtihani, ni conversation yenye lengo la kujua how good you can perform your work.
 
Sasa ikiwa post inahitaji customer care, si content au responsibilities ni zile zile, kat ya A na B, kinachobadilika ni brand name?
 
Ss km Maswali ni haya haya yakujirudia uoni kabsa itafika muda yatazoeleweka na itakuwa ni Kazi Bure Tu. Bora hiyo ya kumention & explain Maswali yanatoka km suprise inakuwa ni vyema .

Na ukichokiandika kiuhalisia ni General Questions about interviews ambayo yanauhusiano na Kada usika Yani mtu wa ICT , Accounting, Economics wajibu kitu kile kile 🤣🤣🤣 sasa itakuwa na maana gani
khee, sasa hapo ndo unajua mtu anajua anachokifanya
private sector hayo maswali huyakwepi
 
Hiyo ni terminology ya watu wa procurement...

FIFO=First In First Out.

LIFO=Last In First Out.

Kikubwa kama nafasi zingekuwa za kutosha na umewakanda PSRS ingekuwa wanachukua watu kwa mpango huo wa hapo juu.

Ila kikubwa ni ikiwa una degree yako, haya mambo unafanya tu, hata wakikupa bila interview....
Shukran mkuu nimeelewa
 
Sasa ikiwa post inahitaji customer care, si content au responsibilities ni zile zile, kat ya A na B, kinachobadilika ni brand name?
Ndio maana nasema wengi hamfanyi interview, iko hivi the way your skills and experience matches company A nitofauti na itakavyomatch company B kwa same position.

Marketing officer wa logistic company ni tofauti na wa Agricultural company

Customer care wa vodacom ni tofauti na customer care wa Reggency Hotel

Itakuhitaji uwe na uwezo mzuri wa kuzungumza, ku-convince na kufitisha ujuzi wako na uzoefu kwenye kampuni husika.

Hutakiwi kuongea kama umekremu, bali kufanya conversation kulingana na culture ya kampuni husika na namna mnavyoweza help each other
 
Kada ya ualimu inaenda na Mitaala kutok huo mwaka mpk 2022 kuna gape kubwa hapo na mambo mengi ya kimtaala yashabadirika.

Elimu ni kitu sensitive tutumie akil zetu vzr japo kwa uchache
Unajua sielewi ni kitu gani unataka kusema Most ya Walimu wengi wanapata nafasi za kujishikizana na kujitolea kwenye Shule Binafsi ili kujiweka Sawa na Kinachojili kwenye Fani zao

Sitaki kuamini km kuna Mwalimu ambae afatilii mabadiliko ya mitaala inapotolewa na Sekta yake ya Elimu. Kumaliza zamani sio kigezo cha kusema Mwalimu alikuwa hafundishi sehemu yoyote (Shule au Tuition Center). Hicho unachokita kumaanisha ni ubaguzi Kwa walimaliza zamani wkt nafasi zenyew zina Age margins ( unahisi hiki kitu kiliwekwa Kwa Bahati Mbaya) km Mpaka mtu mwenyewe Miaka 42 anaruhusiwa kuomba unategemea awe amemaliza hivi Karibuni (2020 - 2022)
 
Sasa ikiwa post inahitaji customer care, si content au responsibilities ni zile zile, kat ya A na B, kinachobadilika ni brand name?
Huyo jamaa kwa hoja yake hiyo amekwama, ni maswali ya kukariri tu.
 
Huyo jamaa kwa hoja yake hiyo amekwama, ni maswali ya kukariri tu.
Huwezi kufaulu interview ya mwajiri mwenye akili timamu kwa kukariri atakutimua kabla hujamaliza, watu wako serious na mambo yao wewe unakuja umesoma jana usiku. You need to have knowledge and skills sio kutembea na desa.

Mwajiri anatokea Austarlia wewe tanzania mnatakiwa muelewane sio uje umekremu madude
 
Back
Top Bottom