HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Attachments

  • Screenshot_20230305-030128.jpg
    Screenshot_20230305-030128.jpg
    202.2 KB · Views: 17
Chuo nilicho soma mm ni cha gov, na kulikua na course mbili college yangu yote facat zaid ya 10 walisoma introduction to computer na Development study aka DS ilikua lazima kila course wasome izo kwa college yangu, so kama chuo chako hakina siwez lazimisha, ilaaa duuh 🤣🤣🤣🤣.
Course yangu wamefundisha ila faculty zingine Hapana
 
Course yangu wamefundisha ila faculty zingine Hapana
haahh nishawai kumuuliza lecture wangu kwanin io coz wanaisoma degree facat zote, alinijib utaenda fanya kazi kwa nani ambapo computer hai usiki, yaani ww hutaandika ata barua ya kikazi, ukiwa na degree na hujui computer ww ni mjinga kama wengine. Mi naimani vyuo vyote wanasima lakin kama hawasomi iko chuo mtaala wake una shida sehem.
 
View attachment 2537383
Hayo maswala ya labour relations kwangu ni kama maji, hivyo vitu nimesomea na navijua na navifanyia kazi kila iitwayo leo.

vile vile narudia tena humu tuache kudharau watu humjui mtu unakurupuka kuleta ujuaji.

Hizo ni baahi ya tools tu.. Kuna Guidelines zingine zipo kwenye makablasha.

Jitahidi kuwa humble bro.
  • hizi Sheria, ndio zinakufanya ujidai unajua labour relation?
  • Kwa hiyo tukikupa mgogoro wa kazi utaweza?
  • halafu hizo Sheria zishakuwa revised, hazitumiki Kwa Sasa, unatakiwa uwe na revised edition, ukitumia hizo Sheria Mahakamani na popote Pale unakuwa ume cite deadlaw kasome Sheria ya Law revision act na statutory interpretation act.
 
haahh nishawai kumuuliza lecture wangu kwanin io coz wanaisoma degree facat zote, alinijib utaenda fanya kazi kwa nani ambapo computer hai usiki, yaani ww hutaandika ata barua ya kikazi, ukiwa na degree na hujui computer ww ni mjinga kama wengine. Mi naimani vyuo vyote wanasima lakin kama hawasomi iko chuo mtaala wake una shida sehem.
- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?
 
Urahisi wa upatikanaji wa kazi hapo Awali (Unaweza kuwa ulikuwa rahisi Kwa sababu ya ushindani mdogo uliokuwepo)

Twende Mbele turudi nyumba Serikali Yetu kutokana na maboresho ya mazingira katika Sekta ya Elimu imefanya namba za wasomi (wahitimu) kuongezeka hivyo ushindani umekuwa Mkubwa.

Nahisi Sisi wenyewe ni mashahidi wa ili Miaka ya hivi Karibuni zimetangazwa nafasi nyingi mno lkn bado haziwezi kutoshereza Idadi ya wahitimu.

Kuna baadhi ya Mambo sio vyema kuanza kulinganisha na Miaka ya Nyuma na hii kutokana na nature ya ongezeko la watu km tu Sensa ya 2012 watanzania tulikuwa Millions 44 na Sensa ya Mwaka Jana (2022) Idadi ilikuwa ni 61 Millions (Ongezeko la 17 Millions Sawa na Ongezeko la 39% kutoka Sensa ya 2012.

Hivyo Bhasi tutambue wasomi wameongezeka na Ushindani Umekuwa Mkubwa tofauti na zamani na uwenda Idadi ya Jobless imeonekana kuwa kubwa Kwa sababu ya Uwazi wa Nafasi za Matangazo ya Kazi kuwa Wazi zaidi tofauti na Miaka ya Nyuma (Kabla ya PSRS)
Very fact.!
 
Back
Top Bottom