Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 445
- 567
MAJOBLESS WAMEGEUZA JUKWAA KUWA LA MABISHANO
Tumeweka malumbano ya hoja!!MAJOBLESS WAMEGEUZA JUKWAA KUWA LA MABISHANO
Yes kaka nilifanya hivyo,ngoja nisubirie kama watanifikiria kwenye hili....Hakika nimepambana haswa kaka.Mungu akakutete mkuu, naamini pia ulianisha taarifa zako vizuri pale zilipohitajika. Na vithibitisho unavyo kutoka kwa daktari, watakuzingatia tuu.
Uzi umebadilishwa kabisa theme!MAJOBLESS WAMEGEUZA JUKWAA KUWA LA MABISHANO
Utarudi kwa theme yake, wacha wamalizane kwanza hawa waajiriwa wa "private sector" na "public sector", kila mmoja anajiona mwamba, ilhali kila mmoja ni zao la vyuo hivi hivi vya ndani, "vyuo vya kizalendo"Uzi umebadilishwa kabisa theme!
😆😆😆😆😆🙈🙈- Uandishi wako sio wa Ki- Chuo Kikuu, unashindwa kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture? au umesoma IFM?
🙈🙈🙈,Unadharau za kipimbi mkuu
Leo mnashushiana vitu vizito jobless humu, mmerithi mikoba ya Kyagata na Yakunle ,safi sana 😆😆😆😆😆,tupunguze stressMuch knower.
Too negative minded.
Hutaki kujifunza.
Anyways!! I cannot argue with you anymore.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu yapi hayo unayosubiri?Wajumbe vipi mmejaribu ku log in kwenye portal? Majibu yapoje huko?
Umeweza ku log in?Majibu yapi hayo unayosubiri?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leo mnashushiana vitu vizito jobless humu, mmerithi mikoba ya Kyagata na Yakunle ,safi sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],tupunguze stress
Ila ukifanya interview na wazungu hasa kampuni za kigeni ,mashirika na NGOs za kigeni utapenda , huwa wako vizuri sana ,hawako toxic , interview zao ziko friendly na haikupi anxiety always Wana kucalm down na kukulinda kisaikolojia ,wabongo sasa , anaweza hata kukirushia tusi au kejeli na mko kwenye interview ili akuvuruge tu ,aweke kimada wake au ndugu yake .Watanzania tunachukiana sanaa, sijui kwann?
Ndio Kwan kuna shida au, mm kwangu kama kawaida kila kitu yan nalog in fresh.Umeweza ku log in?
Nililog in saa kumi hivi ilikubali, nimejaribu sasa hivi inakataaa.Umeweza ku log in?
Ndio Kwan kuna shida au, mm kwangu kama kawaida kila kitu yan nalog in fresh.
😓😓😓Yaani hadi leo Sekretarieti ya Ajira hawatoi pdf la database?
mheshimiwa waziri jenista mhagama
mheshimiwa raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Itakuwa kuna shida labda na mm imegoma.Mimi nimejaribu mara kadhaa kabla sijaingia humu Jamii forum jioni hii na imegoma page ya ajira portal kufunguka ,sijui tatizo nini ,labda matengenezo sijajua wengine lakini
Kwangu huku inagoma kulog inNdio Kwan kuna shida au, mm kwangu kama kawaida kila kitu yan nalog in fresh.