HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndio maana nasema wengi hamfanyi interview, iko hivi the way your skills and experience matches company A nitofauti na itakavyomatch company B kwa same position.

Marketing officer wa logistic company ni tofauti na wa Agricultural company

Customer care wa vodacom ni tofauti na customer care wa Reggency Hotel

Itakuhitaji uwe na uwezo mzuri wa kuzungumza, ku-convince na kufitisha ujuzi wako na uzoefu kwenye kampuni husika.

Hutakiwi kuongea kama umekremu, bali kufanya conversation kulingana na culture ya kampuni husika na namna mnavyoweza help each other
Kwa brand, kwa scope na approach ni tofauti, lakini wote si wamesoma marketing na zile 5P's wamesoma na wazi apply kotekote?

Sasa hapa wewe unashindwa kutofautisha entry job post na nyinginezo.
 
Masuala ya ajira na kazi ni kozi yenye masters kabisa kutoka chuo cha ustawi wa jamii. Hakuna kitu unajua kuhusu labour relations
IMG-20230304-WA0009.jpg

Hayo maswala ya labour relations kwangu ni kama maji, hivyo vitu nimesomea na navijua na navifanyia kazi kila iitwayo leo.

vile vile narudia tena humu tuache kudharau watu humjui mtu unakurupuka kuleta ujuaji.

Hizo ni baahi ya tools tu.. Kuna Guidelines zingine zipo kwenye makablasha.

Jitahidi kuwa humble bro.
 
Ivi kujibu pont 20 na sometimes kujieleza pressure ya kukimbizana na mda ndani ya dk 7 ad 8 kuna kilaza anae wezaaa toboa au asiejua kuchanganua mambo acheni utani utumishi wapo vizur sanaa tuweleze changamoto zao sawa lakin kwenye sehemu walizo patia tuwasifu.
 
Huyo jamaa kwa hoja yake hiyo amekwama, ni maswali ya kukariri tu.
Kabisa, hata PSRS hayo maswali ya techicalities na uzoefu yapo.

Sasa kuna core values za kiutumishi nazo zipo na maswali yake kwenye interview unaulizwa pia.

Approach inayotumika PSRS na Huko private haiwezi kuwa sawa, lakini content ya interview ni ile ile.
 
Unajua sielewi ni kitu gani unataka kusema Most ya Walimu wengi wanapata nafasi za kujishikizana na kujitolea kwenye Shule Binafsi ili kujiweka Sawa na Kinachojili kwenye Fani zao

Sitaki kuamini km kuna Mwalimu ambae afatilii mabadiliko ya mitaala inapotolewa na Sekta yake ya Elimu. Kumaliza zamani sio kigezo cha kusema Mwalimu alikuwa hafundishi sehemu yoyote (Shule au Tuition Center). Hicho unachokita kumaanisha ni ubaguzi Kwa walimaliza zamani wkt nafasi zenyew zina Age margins ( unahisi hiki kitu kiliwekwa Kwa Bahati Mbaya) km Mpaka mtu mwenyewe Miaka 42 anaruhusiwa kuomba unategemea awe amemaliza hivi Karibuni (2020 - 2022)
Katika maelezo yangu kama umesoma vzr nimesema kuna mwalimu ambae kamaliza hiyo miaka na namjua hakuw ktk sekta ya ufundishaji. Na kapata kazi. Nimeongea as a case study.

kujitolea and blah blah haina maana kama mtu huyo hajafanyiw usahili

tusidanganyane ktk hili.
 
Bwanaa tuache utani ukiona mtu kapata kazi utumish kapita kwa nguvu zake yupo vizur, ayo maswali common naweza andaa nje ya usaili nika kremu yanayohusiana na facat yangu ila utumish siwezi.
Nakubaliana na wewe, hakuna kitu kinaleta head ache kama saili za oral utumishi, unaingia na swali lako moja tu, la kujitambulisha, mengine uta-twist huko huko kulingana na ulivo jaliandaa.

Kwa private sector, framework ya maswali yote unakua nayo, ni wewe tu ku-tailor kulingana na information zako katika C.V.
 
Kwa brand, kwa scope na approach ni tofauti, lakini wote si wamesoma marketing na zile 5P's wamesoma na wazi apply kotekote?

Sasa hapa wewe unashindwa kutofautisha entry job post na nyinginezo.
Kwani entry job haikuhitaji uwe knowledgeable about your work? Unafikiri mashirika na private companies hayana entry jobs? Umewahi kufanya internship kwenye shirika lolote? ulifaulu vipi usaili?
 
Nakubaliana na wewe, hakuna kitu kinaleta head ache kama saili za oral utumishi, unaingia na swali lako moja tu, la kujitambulisha, mengine uta-twist huko huko kulingana na ulivo jaliandaa.

Kwa private sector, framework ya maswali yote unakua nayo, ni wewe tu ku-tailor kulingana na information zako katika C.V.
Kabisa yani hayo ur weakness sijui strength, sijui where do u see urself after 5 yrs ku solve changamoto za facat yako najiandaa nje ya uwanjaaa na nayakuta kama yalivo, ila sio utumish akili inabid ifanye kazi.
 
Kabisa, hata PSRS hayo maswali ya techicalities na uzoefu yapo.

Sasa kuna core values za kiutumishi nazo zipo na maswali yake kwenye interview unaulizwa pia.

Approach inayotumika PSRS na Huko private haiwezi kuwa sawa, lakini content ya interview ni ile ile.
Mtu unakuja na madaftari siku ya interview what the heck? ndio maana matajiri siku hizi wanaajiri wakenya, wasouth, wahindi sababu wanafanya kazi kwa kitumia ujuzi sio madaftari
 
Kla nkifungua humu natarajia kukuta habari za PDF mpya kwenye placements...badala yake ni mnyukano wa ubora na mapungufu mazito ya PSRS

PDF FOR HONEY LICKING[emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Kwani entry job haikuhitaji uwe knowledgeable about your work? Unafikiri mashirika na private companies hayana entry jobs? Umewahi kufanya internship kwenye shirika lolote? ulifaulu vipi usaili?
Sasa kwani interview za PSRS, utaenda kujibu na hauna knowledge nini maana ya theory ya darasani nini maana ya FPT?

Hayo mengine ya kazini ni kuna on-job training, na computer application ikiwa hakuna tool specific ya kutumia kwenye ofisi husika, wiki moja tu ushajua word, excel na ppt hiyo.
 
Katika maelezo yangu kama umesoma vzr nimesema kuna mwalimu ambae kamaliza hiyo miaka na namjua hakuw ktk sekta ya ufundishaji. Na kapata kazi. Nimeongea as a case study.

kujitolea and blah blah haina maana kama mtu huyo hajafanyiw usahili

tusidanganyane ktk hili.
Oi Mi naomba nikuache Kwa namna unavyoandika nashindwa kuelewa upo upande gani (Kigezo cha taswira ya Mtu Moja ndy uifanye iwe taswira ya watu wote huu ni ukosefu wa Maarifa km Rafiki yako alikosa pakujishikiza bhs usidiliki kumfananisha na wengine huyo ni Rafiki yako)

Ukiwa unatoa Mawazo yako Hakikisha unazungumza Kwa niaba ya wengi na sio mtu Moja km ulivyofanya we.

Mfano km Mwajuma alipata Mimba darasa la 7 Bhasi Wakina Mwajuma wote watapata Mimba darasa la 7 (Ndy Jinsi navyoyaona Mawazo yako yalivyo Bro ) 🙏🙏🙏🙏 Samahani Kwa Ilo tafuta wa kubishana nae nao Lengo lako sio kuelimishana ni kubishana
 
Mtu unakuja na madaftari siku ya interview what the heck? ndio maana matajiri siku hizi wanaajiri wakenya, wasouth, wahindi sababu wanafanya kazi kwa kitumia ujuzi sio madaftari
Sasa kama mifumo ya kukupa uwanja wa kupractice hicho ulichosomea!!!, kwanini usipitie madesa kukumbushia mambo kidogo?

Falsafa ya kumaster kitu ni kukifanya mara kwa mara na kwakuwa ni entey level, akizama kazini full ni ndani ya mwezi ashakuwa officer mkubwa, tena specialist...
 
Kwa kukazia kupata watu wazoefu kazini zile course zinazoitaji watu wazoefu au wanaojua kazi zao vizur kuna kuwa na saili za practicals, huwez toboa utumish kama ni kilaza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Ivi kujibu pont 20 na sometimes kujieleza pressure ya kukimbizana na mda ndani ya dk 7 ad 8 kuna kilaza anae wezaaa toboa au asiejua kuchanganua mambo acheni utani utumishi wapo vizur sanaa tuweleze changamoto zao sawa lakin kwenye sehemu walizo patia tuwasifu.
Tena ieleweke Utumish washasema Usikariri Bali Ifahamu Kada hivi mtu anachukulia Poah Mtihani unatakiwa kufanya Saa 1 (naumeingia Kweny Chumba cha Mtihani saa 1 ) arafu unakuja kufanya Mtihani saa 7 (Hapo km umekariri utoboi Kabisa sidhani vitu vya kusoma Siku 1 na Kukariri vikakaa kichwani zaidi ya masaa 4 visivurugane humo kichwani)
 
sahihi kaka.
 
Back
Top Bottom