HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umesoma hizo ni edition za mwaka gani? Au unakurupuka tu.
Nimekaa darasani nimesoma sheria, na nimesoma HR nje ndani naijua.
- hizo Sheria zishakuwa revised, Law of contract ishakua revised umeweka revised edition ya 2002 hiyo ukiitumia Mahakamani ni kasoro,
-Umesoma Sheria? Umewahi kuwakilisha mtu Mahakama Gani hapa Tanzania?
  • Mimi nasema wewe Sheria hujui, unajua tu majina ya Sheria làkini hujui jinsi ya kutumia hizo Sheria.
  • au nianze kukuuliza maswali ya Sheria Ili uonekane hujui Sheria
-
 
Last time nilikutukania Mama yako kama sikosei, sitaki kurudia hili.
 
- hizo Sheria zishakuwa revised, Law of contract ishakua revised umeweka revised edition ya 2002 hiyo ukiitumia Mahakamani ni kasoro,
-Umesoma Sheria? Umewahi kuwakilisha mtu Mahakama Gani hapa Tanzania?
  • Mimi nasema wewe Sheria hujui, unajua tu majina ya Sheria làkini hujui jinsi ya kutumia hizo Sheria.
  • au nianze kukuuliza maswali ya Sheria Ili uonekane hujui Sheria
-
Wakati mwingine unatulia sio lazima uendelee ku prove ww ni kilaza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom