HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kiukweli ajira tangu ziwe chini ya PSRS watoto wa wakulima tumekua tukitoboa..

Zamani ambapo taasisi ndio zilikua zinaajiri kulikua na favor Sana hususani kwa watoto wa vibopa.

Taasisi fulani kama humjui mtu fulani au we sio wa kabila fulani basi ulikua umekwisha.

Lakini chini ya PSRS fair imekuwepo kiukweli.

Sometimes hata ukipigwa ndoige unaona kabisa ume deserve..

Guys,PSRS wanafanya kazi kubwa sana hususani kwenye issue ya recruitment, though there are challenges are unavoidable.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.

Unajua ni kwanini?

Ktk hii michakato kuna siasa.

Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.

Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?

Kuna Madudu sana huko
 
Waajir kama wapi hao mkuu, una source yoyote?? Ningependa kufahamu zaidi.
 
Fatilia mzee.
Nakupa white:
Fatilia sahili za MZUMBE na UDSM. Wanadominate usahili wao wenywe wanajua kbs kuna upuuz gan unaendelea
Mi elimu yangu imenifunza kuamini kwenye source au evidence, nachojua hizo taasis mwisho wa siku zinachagua zenyew watu zinao waitaji na ndomana wanakuepo pale watu wa taasisi usika wakata wa usaili.
 
Uhalisia haupo hivyo ndugu.. We amini ktk source na evidence.
 
Uliyo ya andika yoyote anaweza andika, ila ukiambiwa utoe source au uthibitisho, au wapi taasis zili lalamika hivo hutaweza ni bora mengine unayo yasikia ubaki nayo kama huna uwezo wa ku ya defend.
 
Hujalazimishwa kujibu kila post humu. Ukiona ya kipuuzi unaweza iacha.
 
Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.

Unajua ni kwanini?

Ktk hii michakato kuna siasa.

Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.

Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?

Kuna Madudu sana huko
Kwa mfumo wa ajira za serklin mkuu hilo suala la uzoefu naona halipo as long wao wanaamini utajifunza kazi ukiwa kazini huko huko ndio maana hawaconcentrate kweny cv za watu
 
Kama hutaki watu wa reply usi post kwenye uzi ambao upo huru kwa kila mtu kuchangia mawazo yake🤣🤣🤣🤣🤣
Ndugu, em twende taratibu ulikuw unata evidence na source ipi labda? Link, document, guidelines, picha au sauti? Twende taratibu.
 
Ukifatilia vzr tangia PSRS wachukue hii ishu ya Ajira. WAAJIRI wamelalamika sana kuhusu kupelekewa vilaza.

Unajua ni kwanini?

Ktk hii michakato kuna siasa.

Fatilia watu humu wale wale competent hawapati kazi, ukitaka upite sahili za PSRS jifanye Hujui kitu. Ukiweka ujuaji tu umeisha.

Mbili PSRS hawasomi CV kbs ktk usahili yaaan hawaangalii una CV nzito kias gani. Ushawah ona wapi recruitment inafanyika bila kuzingatia Uzito (QUALIFICATION) zilizopo ktk Cv?

Kuna Madudu sana huko
Ndo maana nimesema changamoto zipo lakini bado PSRS ni chujio zuri sana. Changamoto nazoziona ni watu kukalili madude kichwani na kwenda kuyatema na kupata kazi.

Labda wangebadili mfumo badala ya mention, list wangekuja na maswali relevant na experience pamoja na proffession ya mtu na kila wanachotaka

Mfano hizi ni top five questions nilizowahikuulizwa kwenye interviews mbalimbali

1. Why should we hire you?
2. How do you thrive under pressure?
3. Have you failed before? how did you handle it?
4. What are your strengths and weakness
5. How do you proffessionaly address a problem?
erc

Kupitia maswali hayo trust me utapima kila kitu kwa candidate confidence, time management, team playing, skills na vitu muhimu mwajiriwa anapaswa kuwa navyo.

Lakini kuingia kwenye interview unaambia mention sijui types, sijui componets sijawahi kuona kama ni njia nzuri. so nawasupport PSRS ila wabadili vitu kama hivyo.
 
Ndugu, em twende taratibu ulikuw unata evidence na source ipi labda? Link, document, guidelines, picha au sauti? Twende taratibu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama hujui source manake ni nin, ngoja nika lale🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Kwa mfumo wa ajira za serklin mkuu hilo suala la uzoefu naona halipo as long wao wanaamini utajifunza kazi ukiwa kazini huko huko ndio maana hawaconcentrate kweny cv za watu
That's the point... Ndio maana waajiri wanalalamika kupelekew watu wasii reliable.

Hilo swala ndio nw wanaliangalia fatilua mikeka ya juzi inataka experience 3yrs+ u knw y?

Alaf anatokea MTU kuja kuweka hoja za kibishani.
 
Ndo maana nimesema changamoto zipo lakini bado PSRS ni chujio zuri sana. Changamoto nazoziona ni watu kukalili madude kichwani na kwenda kuyatema na kupata kazi.

Labda wangebadili mfumo badala ya mention, list wangekuja na maswali relevant na experience pamoja na proffession ya mtu na kila wanachotaka

Mfano hizi ni top five questions nilizowahikuulizwa kwenye interviews mbalimbali

1. Why should we hire you?
2. How do you thrive under pressure?
3. Have you failed before? how did you handle it?
4. What are your strengths and weakness
5. How do you proffessionaly address a problem?
erc

Kupitia maswali hayo trust me utapima kila kitu kwa candidate confidence, time management, team playing, skills na vitu muhimu mwajiriwa anapaswa kuwa navyo.

Lakini kuingia kwenye interview unaambia mention sijui types, sijui componets sijawahi kuona kama ni njia nzuri. so nawasupport PSRS ila wabadili vitu kama hivyo.
Mim nafikri ipo sabbu inaowafnya wabse kwenye hayo maswali ya mention...
 
Back
Top Bottom