HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapo nakuunga mkono mzee
Kaka nakutolea mfano katika interview ya TRA kuanzia written mpaka oral staff wa TRA walikuwepo kusimamia. Katika pannel ya oral watu wa utumishi walikuwa na kazi ya kufuata watu kwenda kwenye hall la interview na mmoja aliyekuwepo ndani alikuwa kama katibu, the rest walikuwa ni staff wa TRA. (Na hii huwaga ipo hivi kwenye kada zote) sasa unasemaje wanapelekwa watu vilaza ikiwa waliohusika kwenye interview ni hao hao?
 
Nakataa kwamba comp inafundishwa kila course. Nakataa kabisaaa
Nakataa kwamba comp inafundishwa kila course. Nakataa kabisaaa
Rudi chuo ulichosoma ukaulize vizuri ,computer inwfundishwa katika programme zote zinazotalewa na taasisi za elimu,curriculum ipo hivyo
Utwfundishwa ms word,ms excel,ms access,ms powe point ,introduction to comp.n.k bilw kujali unasoma education au afya
Ubishi wako katika hili unakidhalilisha chuo chako
 
Kwahyo Mlishakuwa mmeanza kazi tayari then after 22days mkapata cheque number..?
Kama bado haujajibiwa.

Hilo ni jukumu la HAZINA maana wao ndio wanaolipa mishahara, hiyo ni reference namba ya mshahara wako.

Muda unaotumika hadi uipate: Hapa sijui, ila sisi tulizipata baada ya siku 22 tangu ajira ianze
 
Kwahyo Mlishakuwa mmeamza kazi tayari then after 22days mkapata cheque number..?
Kama bado haujajibiwa.

Hilo ni jukumu la HAZINA maana wao ndio wanaolipa mishahara, hiyo ni reference namba ya mshahara wako.

Muda unaotumika hadi uipate: Hapa sijui, ila sisi tulizipata baada ya siku 22 tangu ajira ianze
 
Lecturer ni anaye fundisha so hapo naandika kwa lugha ya kitaa mtu ambay ana akili timamu ataelewa namanisha nn wa kizaz cha sasa ila kama cha zamani lazima usielewe kama ww🤣🤣🤣🤣
- ulikuwa hujui kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture, Sasa mtu kama wewe ukiambiwa uandae Ripoti ofisini si ndio itakuwa na makosa kibao ya Lugha.
 
- ulikuwa hujui kutofautisha Kati ya Lecturer na lecture, Sasa mtu kama wewe ukiambiwa uandae Ripoti ofisini si ndio itakuwa na makosa kibao ya Lugha.
we ni kituko ndugu yangu yaani comments zako uwa zina sadifu the way ulivo.


"""" Education supposed to free ur mind, but it has chained you""""""".
Kila maneno yana sehemu yake ya kutumika nikiwa na rika langu nikimwagiza naweza kusema """ kamwambie dogo alete funguo ya gari""" na nikiwa na wazee siwezi sema ivo""" naomba umwambie mdogo wangu alete funguo ya gari""""

Dogo langu sio kiswahili sahihi ni sawa na lecture wangu but n lugha za kitaa na tunaelewana.

Mdogo wangu kiswahili sahihi natumia nikiwa sehemu husika/ sehem za eshima
So ilo neno lecturer kama na ongea na watu wa heshima ntalitumia kama naaitaji kulinda eshima yangu.

Ndoman the same sentences kuna sehem nimeandika ""coz""" badala ya """course""" mtu mwenye akili timamu anaelewa nilikusudia nini na hio hio ""coz""" inaweza kusimama badala ya ""becoz""" najua huelewi.

Free education for u, ila ww na uhakika humchomoi dogo langu wa 7 kwa ukilaza unao endelea ku u prove.
 
  • hizi Sheria, ndio zinakufanya ujidai unajua labour relation?
  • Kwa hiyo tukikupa mgogoro wa kazi utaweza?
  • halafu hizo Sheria zishakuwa revised, hazitumiki Kwa Sasa, unatakiwa uwe na revised edition, ukitumia hizo Sheria Mahakamani na popote Pale unakuwa ume cite deadlaw kasome Sheria ya Law revision act na statutory interpretation act.
Umesoma hizo ni edition za mwaka gani? Au unakurupuka tu.
Nimekaa darasani nimesoma sheria, na nimesoma HR nje ndani naijua.
 
Back
Top Bottom