Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,771
- 126,707
Taasisi za Vyuo Vikuu(Mzumbe, UDSM, DUCE, MUCE, MUST, OUT, MUHAS, ARDHI, UDOM, SUA n.k) wanaendesha sahili zao chini ya uangalizi wa PSRS na hizo taasisi sijaona wapelekewe watu kutoka Database. Wana standard zao ndio maana GPA ni kigezo mojawapo.Fatilia mzee.
Nakupa white:
Fatilia sahili za MZUMBE na UDSM. Wanadominate usahili wao wenywe wanajua kbs kuna upuuz gan unaendelea
Tukiachana na Taasisi za vyuo, kuna taasisi nyingine iliyolalamika kupelekewa vilaza na PSRS?