Wabongo walivyomuattack huyu jamaa, kweli bongo imejaa mazezeta ile research waliyosema 1 in 10 ni chizi nadhani waifanye upya, wabongo kati ya 10 nadhani 8 ni vichaa.
Matatizo ya ushoga scientifically ni kama ifuatavyo
1. Kuingia mlango wa nyuma kuchafu ni rahisi sana kuambukizana magonjwa kuliko mlango wa mbele
2. Biologically kile kiungo kilitengenezwa kutoa uchafu nje sio kuingiza dushe ndani so mtu atakayejaribu kuexpand ile misuli atapata tabu kuzuia haja kubwa, ndiyo misuli inaweza ikajirudi ilivyokua lakini kuna point ikifika you can’t turn back
3. Kama nchi tunahitaji watu wazae ushoga ukiwa extreme say 50% wangekua mashoga population ingeshuka kwa speed sana hiyo inapunguza manpower (hili si tatizo kubwa sana ila ushoga ukiwa encouraged tunaweza fikia huko)
Sasa points mbili hapa juu hazihusiani na wadada wasagaji kwa sababu wao hawaingiliani kinyume na maumbile, wao ni mbele kwa mbele either kwa kutumia mdomo au wengine hununua sex toys kujiridhisha.
Swali
1. Je sababu hizo zinatosha kumfunga mtu jela miaka 30 au maisha?
- Hell No, kumfunga mtu kwa sababu hizi ni upuuzi
2. Na dini je?
- Dini ni upuuzi uliletwa waafrika mmekaa mmemeza sasa hivi mnaishi kimasikini kila kitu mnakaa kusingizia mungu sijui shetani, nonsense, uislamu na ukristo vyote vinasupport utumwa, ndoa za watoto wadogo, ubakaji, uuaji, na upuuzi mwingine mwingi. Anayejifanya anaelewa dini anajidanganya. Tanzania crime rate ipo juu sana pamoja na kuwa na washika dini wengi, South korea, Japan 60% ya watu hawana dini angalia walivyo na heshima, unaangusha wallet mtu anakuletea hadi unapoishi.
Mimi niko upande gani?
Sipendi ushoga hasa kwa wanaume ila wakifanya then sitaki nijue hata nikijua hayo ni matatizo yao mimi hayanihusu, kwa upande wa wanawake wak wasagane tu wakitaka honestly sina tatizo nao kabisa maana biologically hakuna tatizo lolote kwa wanachokifanya.
Nikiwa na mtoto sitokaa niencourage mtoto wangu awe shoga ndiyo maana nitampa malezi ya kumuongoza asiende njia hiyo, its possible na very easy zaidi ya wajinga wengi bongo wanavyofikiria.