Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

KWANI NI LAZIMA KUZAA!?
Sasa huoni sababu hiyo hiyo kama ambavyo wewe umejihusisha na ushoga itapunguza nguvu kazi ya taifa. Maana mahusiano ya jinsia moja hayaleti mtoto.
 
KUMBE SHIDA YAKO NI KUTOELEWA KUWA INAKUWAJE MWANAUME ANAMTAMANI MWANAUME MWENZAKE MWENYE MISULI?

KAMA HAUELEWI NI KWANINI, BASI HILO NI TATIZO LAKO BINAFSI.

HUENDA UNAWEZA UKAELEWESHWA KWANINI KAMA UKIHITAJI BADALA YA KUBWATUKA HOVYO.

CALM DOWN.
DUUH HILI JAMAA NI BONGE LA PUNGUANI,NYOKO WEWE,BWEGE NGURUWE MLIWA MATAKO!!.
 
Point ni kuwa haya mambo yawe faraghani kama lilivyo tendo la ndoa
Wafanyie huko sirini hata machangu hufanya sirini sasa mashoga wao hadharani sikuponza vijana wadogo. Ila ukileta huku nje jamii itakushambulia tu
 
Kwa nini mashoga wasijikusanye kwenye kakisiwa kao wabanjuane bila bughudha huku wakimrahisishia Mungu kazi ya kuwapiga kiberiti
Usijidanganye kuwa mashoga tu watapigwa kiberiti kumbuka waongo,wezi,wazinzi walevi kiberiti kinahusika.Sasa Kila kundi litengwe? Dhambi zipo kibao Ila watu wanaitolea macho dhambi ya ushoga tu
 
Awe shoga au sio shoga jibuni hoja.
Hakuna hoja ameleta, na kama jibu ashalipata kwenye comments za mwanzo mwanzo kabisa. Kama sio kutulazimisha tumfumue ni nini. Hatutaki
 
Blame on Bashite. Hakuna aliyekuwa anafanya public.
Hao kina james delicious ni sawa na malaya anayejiuza.
Kuweka public hata mimi napinga.
.
.
Hivi kweli unaweza ukashawishika kwa kusikia flani ni shoga?
Hayo mambo yafanywe chumbani huko, hizo sio issue za kuleta public. Mnatushawishi au niaje
 
KACHEZE UNAPOCHEZAGA.

HAPA HOJA TUU!
Kaliwe unapoliwaga, hapa wanawake wapo wa kutosha na hata tukizihitaji rectum tutazipata kwa hao hao wanawake. Dume zima unachanuliwa miguu na kupelekewa moto. Nyambafu
 
Back
Top Bottom