Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,825
- 95,677
Kama ni ugonjwa wa akili au ulemavu iweje leo tuwakatae na kuwapinga? Haki za walemavu zinasemaje?
Ukisasa unaivuruga dunia. Hivi pamoja na wanawake kuwa wengi zaidi duniani!! . Na wengine wamekosa waoaji,
Unaanzaje kumtamani mwanaume mwenzio mwenye misuli kama na wewe ?!
HUU NI UGONJWA AMA ULEMAVU WA AKILI.