Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwa point ni makubaliano basi isingekiwa kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ikiwa mmekubaliana.
ukishasema mwanafunzi unakuwa off topic tayari.... Kisheria mwanafunzi anakuwa categorized km minor....
 
Blame on Bashite. Hakuna aliyekuwa anafanya public.
Hao kina james delicious ni sawa na malaya anayejiuza.
Kuweka public hata mimi napinga.
.
.
Hivi kweli unaweza ukashawishika kwa kusikia flani ni shoga?
Sasa kama kile ki-delicious. Kinatamanisha.

Yaani kinalazimisha wote tuingie motoni.
 
Sikumbuki kama Tanzania mashoga wamewahi kuandamana kudai haki.
Watu wanafanya yao private ila watu wanawapigia kelele.
Na ukiona sehemu wanaandamana basi ujue kuna haki ya kweli wamenyimwa.
Kumbagua Shoga ni sawa sawa na kumbagua ALBINO
Hivi kichwa chako kiko sawa kweli?.Hata shule umepita kweli?.au unafikiri humu unajenga hoja na wajinga?. USHOGA = ALBINISM,kwel?..

" Quietness hides imprudence "
 
Alie leta huu uzi pia atakua analiwa. Hatupingi mashoga ila hatujihusishi nao kabisa nawala hatuentertain habar zahao species.
 
HAYA, NAKUTAKIA UFIRAJI MWEMA.
Kaliwe unapoliwaga, hapa wanawake wapo wa kutosha na hata tukizihitaji rectum tutazipata kwa hao hao wanawake. Dume zima unachanuliwa miguu na kupelekewa moto. Nyambafu
 
Ulitaka majibu ya Kizungu? Kama unaona ushoga ni jambo lisilo na ubaya wowote siku moja mjaribu baba yako hata mdogo wake/mkubwa wako akufirrre au umfirre mbona unapata hasira kuhusu ushoga?

Mfirre mzazi wako si mtakuwa Mmeamua sisi itatuumiza kwa lipi?
Mihemko unatumia mkuu
 
Madawa yanaua. Ushoga ulimuua nani?
Hata madawa ya hospitali yanaua,kuna watu wanatumia madawa ya kulevya pengine hata wewe kabla haujakomaa akili na bado hadi leo bado wapo.
 
Mkuu sikutukani wala siku kashifu kwa namna yoyote ile ila naona haukosawa kiakili kwa namna fulani. Emagine amber ruty angekuwa ni mdogo ako ama dada yako alafu anakutwa na kashfa ile ya kuffffffirana ungejisikia vipi.?

Mathalani unajua kabisa kila kiungo cha mwili wa mwanadamu kipo kwa ajili ya kazi ambayo muumba alikusudia unaposema swala la ushoga ulionei maanani napata wasi wasi na wewe kuwa mteteza wa hawa mahanithi...!!
 
Hivi kichwa chako kiko sawa kweli?.Hata shule umepita kweli?.au unafikiri humu unajenga hoja na wajinga?. USHOGA = ALBINISM,kwel?..

" Quietness hides imprudence "
Akili zangu za nini mkuu? Zako zinakutosha
 
Hata hiyo mifano uliyotoa ya kuiba mali ya mtu au kutesa mtu,nayo pia si mambo ambayo huonekana mabaya kwa kila mtu na ndiyo maana kuna watu huyafanya na wengine maisha yao hutegemea wizi wa mali za watu.

Kwahiyo vile ambavyo wewe unavyochukulia ushoga kuwa kawaida tu ndivyo mwengine huchukulia kuiba mali ya mtu au hata kuua mtu kuwa ni kawaida tu.
Kuiba haiwezi kufanana na ushoga
 
Sasa kama kile ki-delicious. Kinatamanisha.

Yaani kinalazimisha wote tuingie motoni.
Kama unatamani ujue ndo wale waleeee konki konki. Sijui unachopinga hapa
 
Mimi naona Kila mtu na maisha yake acha afirwe hata wanawake wanapenda Sana Tena wengine wanalazimisha so Kila mtu atumie mwili wake apendavyo atahukumiwa mwenyewe na Moto utamuhusu mwenywe
Hii ndo fact tuache kufanya kazi ya Mungu hajasema anahitaji msaada wetu
 
Kama unatamani ujue ndo wale waleeee konki konki. Sijui unachopinga hapa
Tufanye sipingi kitu.

Mwanaume anapatia wapi guts za kujitangaza yeye ni shoga kama huyu muanzisha uzi
 
Ushoga huo ulipelekea kufutwa kwa Miji ya Sodoma na Gomora.
Lakini ushoga haukuwahi kuisha na watu wote hawajawahi kuwa mashoga.Mashoga watakwepo na wasio mashoga watakwepo maisha yataendelea.Kiongozi mzima wa serikali unaanza kupambana na ushoga wakati kuna mambo lukuki ya kupambana Nayo ni ujinga
 
Back
Top Bottom