Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Huo ni ubaguzi. Kwanini uone bora mwanamke malaya lkn sio shoga?
Ina maana hakuna madhara kwa mwanamke akiwa malaya.
Ni sawa na kusema bora mwanamke afumuliwe marinda na si mwanaume. Kitu ni kile kile
Tatizo wengi mnaangalia madhara ya madawa kwa wale mateja ila kwenye ushoga hamuangalii wale ambao wameathiriwa zaidi na huo ushoga jinsi walivyo,maana bora mwanamke malaya kuliko kuliko wale mashoga.
 
Kuna mtu kakamatwa akiwa chumbani kwake na mwanaume mwenzake? Fanyieni huko huko inatosha. Mkiyaleta public ni hakika tutawapopoa mawe.
Kwani wapi wamekamatwa wanafanyia nje mkuu hebu tukumbushe na sisi?
 
VITABU VITUKUFU NI KWA AJILI YENU NINYI WAKRISTO NA WAISILAMU.

MIMI NAABUDU MITI

MITI HAINA VITABU VITUKUFU.
acha ujinga wewe kama una abudu mti nenda kwa mti wako ukujibu upuuzi uliyo ulizaa stupid!
 
Mungu alisema wapigwe mawe hadi kufa au ni sie binadamu tuliamua iwe hivyo?
Ushoga ni laana ndo maana hukumu yake ni tofauti na dhambi au uovu mwingine ambapo mtu alikuwa anapewa nafasi ya kufanya toba. Ila kwa mashoga hukumu ilikuwa ni hapohapo kupigwa mawe hadi kufa, hawakustahili kuendelea kuishi
 
Hapana mkuu, maana najua uchungu wake bila hata ya kufanya practical, kwa kuwa wewe umeshindwa kujua uchungu wake ndo maana nimekuambia ufanye practical ili uelewe kirahisi, preliminary test haimo basi fanya confirmatory test.
HAYA SAWA.
 
Najua umesema hutaki stori za Sodoma na Gomora OK basi tufanye ni uwongo na ww umesema huna dini, lkn wewe ni Muafrika na unakabila, hivi jiulize ktk kabila hivi mila na desturi zenu zinaruhusu huu upuuzi unaoutetea.

Ujue vitu vingine kujiendekeza lkn kabla hawajakuja hao Wazungu na Warabu kusambaza dini, sifa kubwa ya mwanaume wa Kiafrika ilikuwa kufanya kazi kwa bidii, kuoa wanawake wengi na kuzaa watoto wengi na trend ilikuwa hiyo hiyo vizazi na vizazi so hiii inaonyesha sio tabia yetu Wafrika na sio asili yenu,so huko nyuma mwanaume wa Kiafrica alikuwa shababy.

Usitetee huu upuuzi sometime hizi exposure walizozipata huko nje zinawafanya watu wawe wehu na kujiona wanaenda na wakati kumbe ni upuuzi na ni kinyume cha asili yetu sisi Wafrika.

Kitu cha msingi tujiulize kama jamii tumekosea wapi, wakati huko nyuma huu upuuzi ulikuwa hamna yaani tumezidiwa mpaka na mababu zetu ambao walikuwa hawana elimu, ila sisi na vielimu vyetu tunatetea ujinga.

Hii kitu ni laana kwani ni kinyume na asili yetu sisi Wafrika na kinyume na Mungu, tutimize wajibu wetu kama kuwalea watoto kwenye maadili, turudishe jando na unyago ili watoto wajitambue nini wajibu wao kama mwanamke au mwanaume kwenye familia na kila mmoja amchukulie mtoto wa mwenzie kama wake, kwani mababu zetu huko nyuma waliweza kwa nn ww ushindwe, ila kuitetea hii tabia ni upuuzi WEWE HUNA DINI ILA WW NI MUAFRIKA NA ASILI HUWEZI IBADILI, ACHA KUTETEA UPUUZI.
 
Unachotakiwa kupinga ni amber rutty kuonyesha anavyoliwa. Ila jinsi alivyoliwa haimuhusu mtu
Shoga na mwanamke anayeingiliwa kinyume na maumbile ni wale wale tu.
 
Back
Top Bottom