Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Sina uelewa kuhusu madawa so siwezi nikayazungumzia. Ninachojua yana madhara tena yanayoonekana.
Kama ndio hivyo basi mashoga wawe treated kama watumia madawa
Hata madawa ya hospitali yanaua,kuna watu wanatumia madawa ya kulevya pengine hata wewe kabla haujakomaa akili na bado hadi leo bado wapo.
 
Ni kuulize wewe ni criteria ipi inawaaminisha kuwa wanaume wengi watakuwa mashoga?
Kama wewe huwezi kuwa shoga iweje ufikirie kuwa wanaume watafata ushoga?
Watu wanazuia hadi misaada ya kimaendeleo kisa et umekataza mwanaume kumuingilia mwanaume mwenzake,sasa kama sio wana ajenda za kufanya ushoga usambaye zaidi ni nini? Maana usiufikirie ushoga kwa watu wazima bali unaanzie utotoni.
 
Lakini ushoga haukuwahi kuisha na watu wote hawajawahi kuwa mashoga.Mashoga watakwepo na wasio mashoga watakwepo maisha yataendelea.Kiongozi mzima wa serikali unaanza kupambana na ushoga wakati kuna mambo lukuki ya kupambana Nayo ni ujinga
Nafikiri mashoga wasiitumie mitandao kujitangaza na wala kufanya ushoga wao hadharani. Mji wangu sipo tayari kuangamizwa
 
Kosa la amber rutty ni kuachia video. Kumuhukumu kwa kufirana ni kumuonea
Mkuu sikutukani wala siku kashifu kwa namna yoyote ile ila naona haukosawa kiakili kwa namna fulani. Emagine amber ruty angekuwa ni mdogo ako ama dada yako alafu anakutwa na kashfa ile ya kuffffffirana ungejisikia vipi.?

Mathalani unajua kabisa kila kiungo cha mwili wa mwanadamu kipo kwa ajili ya kazi ambayo muumba alikusudia unaposema swala la ushoga ulionei maanani napata wasi wasi na wewe kuwa mteteza wa hawa mahanithi...!!
 
Sina uelewa kuhusu madawa so siwezi nikayazungumzia. Ninachojua yana madhara tena yanayoonekana.
Kama ndio hivyo basi mashoga wawe treated kama watumia madawa
Wawe treated kvp?
 
Kuna mtu kakamatwa akiwa chumbani kwake na mwanaume mwenzake? Fanyieni huko huko inatosha. Mkiyaleta public ni hakika tutawapopoa mawe.
Mkuu wafanye faragha,hao wanaoleta hadharani waadhibiwe vikali.
 
Shikilia maadili yako na wafundishe wanao yaliyo mema, wajibu wako ni huo tu usiumize kichwa na fantasy za binadamu wengine

Back
Top Bottom