Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Watu hawajielewi,wameacha watu wanabaka vitoto vidogo ila wamekomaa na wanaofirana kwa hiari na raha zao bila kutubugudhi sie tusiofirana!
 
SURE MKUU.

SASA HAWA WANAOLETA HADITHI ZA GOMORA WANAZITOA WAPI?

INA MAANA WANAMUONEA MUNGU HURUMA AMA?
Mimi naona Kila mtu na maisha yake acha afirwe hata wanawake wanapenda Sana Tena wengine wanalazimisha so Kila mtu atumie mwili wake apendavyo atahukumiwa mwenyewe na Moto utamuhusu mwenywe
 
HAPANA. MIMI SIO GAY.

JE, WEWE NI GAY?
Hili jambo utaelewa ubaya ukikua .
Hakuna jambo linalosononesha kama mwanao uliyemzaa na kumtendea kama wengine aamue kuta kufira au kufirwa!!!
Ni zaidi ya ulemavu . wewe hapo unashabikia ulemavu wenye aibu kubwa
 
Unahitaji ukombozi ndugu yangu, Mungu hakuumba adam na adam, aliumba adam na eve.

Nilichogundua ni kwamba hisia zako kishoga zina nguvu kuliko ukanyaji wa kibinadamu.

Mungu akuongoze uache kupumuliwa kisogoni.
Kwani alivyowaumba Adam na Eva kuna maagizo yoyote kwamba wakatiane au wakafanye mapenzi!?,Nipe na kifungu cha biblia nisome vizuri!
 
Mwili wa mwanadamu una matundu 7.

Pua (2) :iko wa ajili ya kuvuta hewa na kunusa.

Masikio (2): kusikia.

Mdomo: kupitisha vitu vinavyoingia tumboni hasa chakula na vinywaji.

Tundu la uke au Uume: kukojoa manii (Mwanaume)/mkojo na mwanamke hutumia kwa ajili ya uzazi pamoja na kukojoa.

PURU: BAADA YA MWANADAMU KULA CHAKULA, MABAKI HUTOKA NJE KUPITIA PURU. sasa vuta picha umekuta Baba yako anatumia PURU lake kuingiziwa uume utajiuliza anataka kuzaa au anataka kutoa chakulataka kwa kutumia mdomo!

SAWA SHANGAZI NIMEKUELEWA.
 
Je uwezo wa kutokomeza ushoga upo?
Hili jambo utaelewa ubaya ukikua .
Hakuna jambo linalosononesha kama mwanao uliyemzaa na kumtendea kama wengine aamue kuta kufira au kufirwa!!!
Ni zaidi ya ulemavu . wewe hapo unashabikia ulemavu wenye aibu kubwa
 
Watu hawajielewi,wameacha watu wanabaka vitoto vidogo ila wamekomaa na wanaofirana kwa hiari na raha zao bila kutubugudhi sie tusiofirana!
KABISA MKUU.

MIMI NASHANGAA KWANINI WATU WAWILI WENYE MAAMUZI HURU WABUGHUDHIWE ETI KISA WAMEAMUA KUFIRRANA KWA HIARI YAO.

HAWAJAIBA MALI YA MTU, HAWAJAKWAPUA RASILIMALI, HAWAJAUA MTU.

KOSA LAO ETI NI KUTUMIA MIILI YAO!

DUUH!

HII FALSAFA YA KISHAMBA TULIITOA WAPI?
 
Ulitaka majibu ya Kizungu? Kama unaona ushoga ni jambo lisilo na ubaya wowote siku moja mjaribu baba yako hata mdogo wake/mkubwa wako akufirrre au umfirre mbona unapata hasira kuhusu ushoga?

Mfirre mzazi wako si mtakuwa Mmeamua sisi itatuumiza kwa lipi?
Jibu hoja si mitusi
 
Unafiki tu na hawatakuelewa.
KABISA MKUU.

MIMI NASHANGAA KWANINI WATU WAWILI WENYE MAAMUZI HURU WABUGHUDHIWE ETI KISA WAMEAMUA KUFIRRANA KWA HIARI YAO.

HAWAJAIBA MALI YA MTU, HAWAJAKWAPUA RASILIMALI, HAWAJAUA MTU.

KOSA LAO NI KUTUMIA MIILI YAO.

DUUH!

HII FALSAFA YA KISHAMBA TULIITOA WAPI?
 
HAPANA. MIMI SIO GAY.

JE, WEWE NI GAY?
ok sasa mbona unapanic wakati umesema hao wanaogeuzana wanafanya kwa matakwa yao na hamu zao kwanini wewe umind?? kwanini wewe ikuumize??

am not
 
Back
Top Bottom