Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Badala ya kujutia na kuachana na huo uchafu, mashoga na mabasha wao wanalazimisha kuhalalisha uovu wao kwa kutafuta kuungwa mkono na kila mtu, hatujasikia wafanya maovu wengine mfano wezi wa wake za watu wakitokwa povu humu ili watambuliwe na serikali na jamii ili waendelee kuiba wake za watu
Kwelii kabisaa sasa...nakuungaa mkono huyu mtoa mjadalaa hana budi kukuelewaaa ila ndo ivo ameshaa ingia ktk kundii LA maadili mabovu
 
Ushoga huo ulipelekea kufutwa kwa Miji ya Sodoma na Gomora.
Wawaulize nchi ya Haiti inasemekana walikuwa na maisha ya ajabu ajabu sana baada ya sunami wameanza kumtafuta Mungu kwa nguvu zote
 
SASA HIZI SIJUI NIZIITE PUMBA AU WARAKA!?

UNANICHOSHA!

REJEA MAJIBU KUANZIA COMMENT YA KWANZA MPAKA YA MWISHO!
Wee pigwa mashine nyuma tu bhaana, sasa sisi tutafanyaje kama umeamua. Maana tunakupa majibu ya kina unaita WARAKA.

Ok, you just go on with your SODOM and GOMORA.
 
Wee pigwa mashine nyuma tu bhaana, sasa sisi tutafanyaje kama umeamua. Maana tunakupa majibu ya kina unaita WARAKA.

Ok, you just go on with your SODOM and GOMORA.
WASALIMIE TANDAHIMBA.

NEXT TIME UKUJE NA ARGUMENTS ZENYE SENSE SIO HII TAKATAKA UNALETA HAPA.
 
Hahaha nadhan hapo ushapata jibu kila kiungo kimewekwa na kazi yake huwezi kubadili matumizi, pumua sasa na masikio kama unaweza usituletee hapa utaahira na thread za kizuzu
 
SASA HAPO KWENYE MAKUBALIANO NDIPO PALIPO MSINGI WA FALSAFA NZIMA YA UTETEZI WA USHOGA.

WATU WAWILI, WENYE UMRI HALALI WA KUFANYA MAAMUZI HURU NA BINAFSI, WANAPORIDHIA KWA HIARI YAO KUTUMIA MIILI YAO KWA NAMNA YOYOTE YA KUFANYA MAPENZI HAWAPASWI KUBUGHUDHIWA.

MWISHOWE WATU WATAKATAZWA MPAKA KUPIGANA DENDA.
Mkuu ....

Sory ....

Hivi kuna mwanaume anampiga denda mwanaume mwenzake sijawah isikia hii
 
Siungi mkono ushoga ila mjadala wa ushoga unajadiliw kwa mihemko na watu waliopungukiwa akili, watahamaki utafikiri utafikiri wao wameshikwa wao.
 
Siungi mkono ushoga ila mjadala wa ushoga unajadiliw kwa mihemko na watu waliopungukiwa akili, watahamaki utafikiri utafikiri wao wameshikwa wao.
Hahahaa

WANAPOVUKA HAO KAMA VILE WAMELAZIMISHWA KUFIRWA.
 
Kwani wewe unafikiri wanaofanya vitendo vya kishoga wote walianza hivyo vitendo kwa kupenda wenyewe?
Kama hajapenda mwenyewe inamaana kabakwa?

Ila hakuna anayependa kuibiwa.
 
Back
Top Bottom