Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Kuwa na Jirani ana Music taste kama yako ni underrated blessing!
Mwana hua anagonga ngoma za The Weeknd kwenye Sound Bars zake anaburudisha kampaundi yote!
Unakaa kibarazani Bonyokwa unaburudika bure tu!
😂🫡
😅😅 Hii nimeifanya sana miaka ya 2005-2009, nilikuwa na Hi-Fi ( Kenwood ) nikiwasha mtaa mzima inabidi wasikilize nachosikiliza, sasa hivi nina Sonny yangu moja nakula mziki kizee kabisa
 
Nipo single sababu napenda kujiamulia mambo..!!
Kila mwanaume ninayempa sikio kumsikiliza lazima nitaona mapungufu yake..!!

Hapa nishajisikia kichefuchefu tayari nimemkumbuka mmoja anaongea kama chiriku, ujuaji ChatGpt ikasome..!!
Punguza kipaji cha kujiamulia mambo binti uache kulala kama panga🤣🤣🤣
 
Kwanini upo single?

Mapenzi yamekushinda?

Hujaona faida yake?

Au upo single kwa sababu maalum?

Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?

Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? 🤔💭

Sunday
ShesRise_1 🖐
1003445745.jpg
 
Back
Top Bottom