ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,819
- Thread starter
- #421
Twende kule jukwaa la siasa tuone kina Lukas wanasemaje
Twende kule jukwaa la siasa tuone kina Lukas wanasemaje
Unataka kunipiga chenga kunipeleka kwa kunipeleka kwenye mambo ya siasa 🙌🙌Twende kule jukwaa la siasa tuone kina Lukas wanasemaje
Acha ukaidi Tanzania ni yetu sote sio ya akina tlatla😆Unataka kunipiga chenga kunipeleka kwa kunipeleka kwenye mambo ya siasa 🙌🙌
Sitaki kwenda uko nimegoma niko na weweAcha ukaidi Tanzania ni yetu sote sio ya akina tlatla😆
Ubishi umeanza lini sasa 🤣Sitaki kwenda uko nimegoma niko na wewe
😂😂😂Ubishi umeanza lini sasa 🤣
Proton hv unajifichaga wapi we jamaa 😂😂😂😂😂😂Gharama ya kufuga ng'ombe wa maziwa ni kubwa kuliko kununua maziwa yenyewe.........ngoja Poor Brain Mbaga Jr dronedrake wasijekuona koment yangu
Umerud bagamoyoProton hv unajifichaga wapi we jamaa 😂😂😂😂😂😂
Nipo gomzi nimefanikiwa kutoroka aiseee namshukuru mungu kwa kweliUmerud bagamoyo
Duh najua haikua rahisi 😅😅 hongeraNipo gomzi nimefanikiwa kutoroka aiseee namshukuru mungu kwa kweli
Ety sasa hv ananitafuta anasema kamisi mizagamuo aaaaah nimemwambia anikome kwanzaDuh najua haikua rahisi 😅😅 hongera
😹😹😹 Yani sipendi kulala na mtu mimi..Shenziii wewe 😃
Mpuuzi weweEty sasa hv ananitafuta anasema kamisi mizagamuo aaaaah nimemwambia anikome kwanza
Umefukua hili kaburi 😂😹😹😹 Yani sipendi kulala na mtu mimi..
Pole masikini wenzio wapo mnaweza kulisongesha mkuuKwa sababu bado masikini.
Pole masikini wenzio wapo mnaweza kulisongesha mkuu
😹😹😹 Nimeingia nimekuta notfcn na hii kwoti yako ikiwemo..!!Umefukua hili kaburi 😂
Umetoka wapi diha
Na mie nataka wakunifungia😭😭😂😂 nipee acha uchoyooo😹😹😹 Nimeingia nimekuta notfcn na hii kwoti yako ikiwemo..!!
Nilifungiwa ndo nimetoka..!!
Utampata usiwe na haraka sana 😂Shkamoo, umeamkaje? Afya yako vipi?
Kumpata sasa!