ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,818
- 39,819
- Thread starter
- #301
Sasa itakuaje baasi opoa yoyote yuleUmumikivu unachelewesha maendeleo.
Anachelewesha watoto shule.
Sasa itakuaje baasi opoa yoyote yuleUmumikivu unachelewesha maendeleo.
Anachelewesha watoto shule.
Sitakii 😅Aje kuokoa jahazi.
Basi nakuopoa weweSasa itakuaje baasi opoa yoyote yule
Sababu zako ni kama vile unawasilisha mswaada bungeniSababu ni zile zile hazijawi badilika mkuu😃😃
Mie hopana aiseeBasi nakuopoa wewe
Hebu sema vizuri mjukuu! Maana kwenye madhambi yake huniiti🙆♂️🙆♂️Haya sasa matusi 🤣🤣
Si unaona sasa. Watu hamko serious. Umesema opoa yoyote kumbukaMie hopana aisee
Share hivyo vitu kwa faida ya membersBattle za kipuuzi na wanawake
Na pia ujifunze kua msiri sana
Hata kama unajua kitu kama hakina faida ukisema basi usiseme
Mf: mimi kuna baadhi ya vitu najua humu ila nitaenda navyo kaburini
Maana hata nikisema hakuna faida nikinyamaza hakuna hasara
Nitakuita nikimuona saiv baado wewe ndio mkorofiHebu sema vizuri mjukuu! Maana kwenye madhambi yake huniiti🙆♂️🙆♂️
Hapo sasa umenielewa, wazee wa hovyo ni dili sana town 😅Kweli nimeamini wewe mzee ni wa hovyo 😄😅, Sawa mubaba nimekusikia
Mimi siyo type ya kuopelewaSi unaona sasa. Watu hamko serious. Umesema opoa yoyote kumbuka
Watu wapo single ila wanazagamuana ,hii nashangaa sanaWatu wameamua kujipenda wenyewe.
Ni rahisi ku share mambo yangu kuliko ya watu 🙏🙏Share hivyo vitu kwa faida ya members
Mda mchache vip hadi wewe mahi😉Watu wameamua kujipenda wenyewe.
Kwanini Dm na sio hapa
Una share tu ,halafu kesho unaomba msamaha ulilewa ,simple tu.Ni rahisi ku share mambo yangu kuliko ya watu 🙏🙏
Ulivyosema niopoe yoyoye ulimaanisha yupi mwenye type ya kuopolewa?Mimi siyo type ya kuopelewa
Usifanye mambo kua magumu bro leo ni weekend tunataka mijadala soft sio kuanza kuumiza kicwa tena 👍Ulivyosema niopoe yoyoye ulimaanisha yupi mwenye type ya kuopolewa?