ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,712
- 39,507
- Thread starter
- #401
Kwanini umechukulia serious sana tatizo nini mimi kuuliza hivyo ?Kwa nini unauliza "kwa nini upo single?"
Huna uwezo wa kufikiria mada nyingine?
Unatafuta danga?
Unaongozwa na hoja za mahusiano kuliko kitu kingine?
Huna interest ya kujua mada tofauti?
Wewe ni mmbea?
Unapenda kufuatilia maisha ya watu?
Nina mada nyingi sana mchanganyiko za kijamii na zakawaida kama hizi
Sijawahi kukuona ukichangia hizo mada zingine ila una laumu kwanini nimeanzisha hii mada aiseee
Humu ni jukwaa la mahusiano unahisi hii mada haindani?
Yaan namna umeniuliza ni kama vile una shida na mimi aisee
Hua nakuchukulia kama mtu wa heshima sana mkuu naomba ibaki hivyo