Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Mapenzi yamekushinda?

Hujaona faida yake?

Au upo single kwa sababu maalum?

Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?

Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? 🤔💭

Sunday
ShesRise_1 🖐
kutokana na hali ya hewa. Dakika kupwa dakika kujaa.... yani mwezi mchanga.... mwezi wa 7 sasa si mchezo.
 
Mwanamke pekee niliyempenda kwa dhati kabisa ya moyo wangu aliniacha akaenda kwa mwingine,so since then sijaonaga tena sababu ya kumpenda mtu..huwa natafuta wa kupiga show tu then kila mmoja anaendelea na mambo yake.
 
Pole sana 😢
Utapata mwingine
 
Kwanini upo single?

Mapenzi yamekushinda?

Hujaona faida yake?

Au upo single kwa sababu maalum?

Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?

Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? 🤔💭

Sunday
ShesRise_1 🖐
Kwa nini unauliza "kwa nini upo single?"

Huna uwezo wa kufikiria mada nyingine?

Unatafuta danga?

Unaongozwa na hoja za mahusiano kuliko kitu kingine?

Huna interest ya kujua mada tofauti?

Wewe ni mmbea?

Unapenda kufuatilia maisha ya watu?
 
Kwanini umechukulia serious sana tatizo nini mimi kuuliza hivyo ?

Nina mada nyingi sana mchanganyiko za kijamii na zakawaida kama hizi

Sijawahi kukuona ukichangia hizo mada zingine ila una laumu kwanini nimeanzisha hii mada aiseee

Humu ni jukwaa la mahusiano unahisi hii mada haindani?

Yaan namna umeniuliza ni kama vile una shida na mimi aisee

Hua nakuchukulia kama mtu wa heshima sana mkuu naomba ibaki hivyo
 
Back
Top Bottom