ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,770
- 39,697
- Thread starter
- #441
Utampata usiwe na haraka sana 😂Shkamoo, umeamkaje? Afya yako vipi?
Kumpata sasa!
Utampata usiwe na haraka sana 😂Shkamoo, umeamkaje? Afya yako vipi?
Kumpata sasa!
Si rahisi kama unavyodhani.Utampata usiwe na haraka sana 😂
Pole sa itakujeSi rahisi kama unavyodhani.
😹😹😹 Wewe si ulimkataa Mr Tonn..Na mie nataka wakunifungia😭😭😂😂 nipee acha uchoyooo
Nitaishi tu,mpaka hapo hali ikiwa nzuri kiuchumi.Pole sa itakuje
Kama kuna mchumba nip single mkuu 😂
Heb mie 🏃♀️🏃♀️😹😹😹 Wewe si ulimkataa Mr Tonn..
Sawa mkuuNitaishi tu,mpaka hapo hali ikiwa nzuri kiuchumi.
Naona wewe una enjoy tu vitu vitamu.Sawa mkuu
Vitu gani tena mkuu 😂Naona wewe una enjoy tu vitu vitamu.
Vitu vyote vya huyo baby wako.Vitu gani tena mkuu 😂
Labda wewe kama jina lako
Achana na hzo mada kuna sehemu ni me ku tag angaliaVitu vyote vya huyo baby wako.
Kwenye uzi wa SIRI? Mbona sijaonaAchana na hzo mada kuna sehemu ni me ku tag angalia
Leo kanitafuta anataka nirudi aiseee 😴 nachoka kabisaMpuuzi wewe
Daaah aiseeeKuna mrembo tumepanga naye date. Nikamwambia anitumie pesa ninyoe, ninunue na outfits za kwenda nazo kwenye date nashangaa eti kaniblock.
Kwa hiyo alitegemea niende kwenye date mchafumchafu?
Kwa hali hii bora kubaki single tu.
Ni ku tag yes uzuri ushaona mwenyeweKwenye uzi wa SIRI? Mbona sijaona