Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Ukiwa mtoto shida ni ada.
Ukikua shida ni kodi.
Ukizeeka shida ni afya.
Maisha hayakosi assignment.
Tofauti ni kwamba baadhi ya matatizo yanakupa muda wa kujiandaa…
Ukisimama nchale ukichuchumaa nchale
Mengine yanaingia moja kwa moja first eleven. 😂⚽🔥
Bao kama la mwamba wa lusaka
 
Back
Top Bottom