Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Kua makini sana
Nipo makini sana kila siku yaan ni leo zaidi ya jana umakini wangu haupimiki kwa kuangalia kwa mboni zako mbili za macho ila ni zaidi ya unavyofikiria ni jinsi gani huyu mtu yupo makini bila kua makini mpaka sasa nisingekua nakuachia comment hapa hio ni kuthibisha ni kwa namna gani nipo makini zaidi ya sana, na wewe uwe makini tusije tukaanza kujiuliza hii ID ya ShesRise_1 imepotelea wapi kumbe ulipunguza umakini ukajazwa kifusi kua makini sana
 
Sawa mkuu
 
Hahahaha,imepoteza sana Vijana
😅 vijana wanapokea mambo bila kuchuja.. niliachana na bills siku nimekaa na totoz kama tatu hivi kuja shangaa hela na wallet hakuna, kutoka pale ndio kama wakawa wamenitoa kwenye ulimwengu wa bills na club kwa ujumla sikuwai ingia club kwa zaidi ya mwaka au miaka.. Kulikuwa na toto kali sanaa
 
Back
Top Bottom