ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,738
- 39,550
- Thread starter
- #181
Pole mkuu kwani hayuko active ukiangalia?Nilivyoona jina la uzi wako
Nikamkumbuka huyo dada.
Pole mkuu kwani hayuko active ukiangalia?Nilivyoona jina la uzi wako
Nikamkumbuka huyo dada.
Tanzania unaamuliwa hadi kuishiHapa Afrika social and economic status yako ndiyo inayoamua upate haki kiasi gani.
Ukiwa kwenye zile ngazi za juu kabisa unaweza ku play role zote kuanzia kukamata , kusikiliza kesi na kuhukumu.
Old is gold mkuu.. Nimezitunza nyingi sana hiziAhaa OK ila Namkubali sana hizo old rnb,
Vibaka wana run kantreTanzania unaamuliwa hadi kuishi
Close your eyes, you'll feel it.Sioni
Jichanganye! Mtoto wa mjini huyo.Mm ningepata hy bahati, mapema sana jioni hii hii tuu nngeenda kanisani kutoa sadaka na ushuhuda 😎
HahahahaKila la kheri mkuu
Hakika samia ni gaidi pia anaukichaaHapa Afrika social and economic status yako ndiyo inayoamua upate haki kiasi gani.
Ukiwa kwenye zile ngazi za juu kabisa unaweza ku play role zote kuanzia kukamata , kusikiliza kesi na kuhukumu.
Haya bhna😊Close your eyes, you'll feel it.
Au tu voice chart?
Ni kweli kabisaKuishi single ni kazi hatari
Kwanini ni hatari?Kuishi single ni kazi hatari
Mbaga Jr😭😭😭 nimelia sana, ukizinduka njoo nichukue Mloganzila maana nipo ICU
Heh punguza masimango babu🤣Kuwa single ni ulemavu kama ulemavu mwingine.
🙆♀️😂😂 we mzeeKuwa single ni ulemavu kama ulemavu mwingine.
Siwezi kukaa mwenyewe huwa mara nyingi nahitaji kampani.Kwanini ni hatari?