Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,866
- 122,703
Mm ningepata hy bahati, mapema sana jioni hii hii tuu nngeenda kanisani kutoa sadaka na ushuhuda 😎Nimezimia mara tatu! Ngoja nisome tena ulichoandika.
Mm ningepata hy bahati, mapema sana jioni hii hii tuu nngeenda kanisani kutoa sadaka na ushuhuda 😎Nimezimia mara tatu! Ngoja nisome tena ulichoandika.
Me too, unafurahi bcoz the love is real.Lol 😆 unanichekesha bhna acha
♥️♥️🔥
😭😭😭 nimelia sana, ukizinduka njoo nichukue Mloganzila maana nipo ICUNimezimia mara tatu! Ngoja nisome tena ulichoandika.
Najitolea kumtetea 🤣Una mwanasheria wa kueleweka?
Mzee nina Library yangu to home, ina ngoma kibao mkuuShare your Spotify mkuu
Ww mwnyw unajua vile naipambania hapo 😎Sizitaki mbichi hizi
Asantee mkuu leo umeamua ku ni bless 🙌 🔥🔥🥰View attachment 3607632 😊
Sometimes you love it, sometimes you don't Sometimes you need it, then you don't, then you let go
Sometimes we rush it, sometimes we fall It doesn't matter, baby, we can take it real slow
Wapi unapoipambania 😎Ww mwnyw unajua vile naipambania hapo 😎
Unajua bhana 😎Wapi unapoipambania 😎
Nawaonea huruma yasije yakawakuta yake ya yule mkenya na mganda walivyowekwa kwenye 18 za afande mafwele.Najitolea kumtetea 🤣
Umeanza mashairi sasa🤣Me too, unafurahi bcoz the love is real.
Beyond, this universe
Beyond conditions just me&you for eternity
Usiseme hivyo basi dahNawaonea huruma yasije yakawakuta yake ya yule mkenya na mganda walivyowekwa kwenye 18 za afande mafwele.
Heheh kijana tuliaaaUnajua bhana 😎
😊Asantee mkuu leo umeamua ku ni bless 🙌 🔥🔥🥰
Ningekuwa naishi nchi inayofuata sheria, ningekuwa naeUna mwanasheria wa kueleweka?
Sipo single. Kila siku nina mtu mpya. Ndivyo ninavyoishi na kuishia tunaishi mara moja hakuna mara ya pili ya kuishi chance pekee uliyonayo ya kuishi ndio hii sasa utaamua wewe unaishi ishi vipi kabla haujaishiaAu upo single kwa sababu maalum?
Umejuaje silali bila kusikiliza hii yooo♥️😊
View attachment 3607644
And I can be your hero (your hero, baby)
I can kiss away the pain
And I will stand by you forever
You can take my breath away
You can take my breath away
I can be your hero
Natulia bossHeheh kijana tuliaaa
Kua makini sanaSipo single. Kila siku nina mtu mpya. Ndivyo ninavyoishi na kuishia tunaishi mara moja hakuna mara ya pili ya kuishi chance pekee uliyonayo ya kuishi ndio hii sasa utaamua wewe unaishi ishi vipi kabla haujaishia