PoleeDomo zege
SawaNdio hali yetu ya uchumi inaruhusu, ukiwa na buku jero unalewa hadi kujikojoleaa 😅
Tonight.Haya bhna😊
Sibeko goldHakikisha haupo single, ikiwezekana bandika bandua, hakun kukaa single hata kwa usiku mmoja😀
Punguza kidogo uache kulala peke yakomy standards come with background checks and credit scores😅
AsantePolee
🔥🔥🔥 nomaaa
Unawaza isidingo tuSibeko gold
Hahahaha unanikumbusha enzi hizo ,bills na hard rock
Kwa afya gani sasa!! Tutapata murder case 🤣🤣🤣Siku tulichangie tulipige aisee!🫢
Aje kuokoa jahazi.Kwamba 😅?