Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwenye mada sijaona km kataja dhehebu!
Lkn mi naposali ss,na nilipotokea sijaona hii kitu ,sijui huko mliko wenzetu?
hujaona kkkt hapo juu, umewezaje kuni quote mimi bila kusoma hoja nzima? Mbona unatetea sana kkkt kuwa hakuna michango, au we ndiye mchungaji mhamasishaji wa kutoa michango? Tena huko kkkt ndio kuna michango mingi na mikubwa kuliko kwingine. Hayo mashule, vyuo na mahospitali ni michango ya waumini kwa kwenda mbele. Mshangao na maudhi ni pale muumini anachangia lakini akihitaji huduma hatatambuliwa kama alitoa mchango, watoto wake hawatasoma shule na vyuo alivyochangia
 
Ngoja mwanasheria wangu atoke evening glory ndo ntaongea ya moyoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Inaonekana mim peke yangu ndo ninayefurahia kuitwa jinsia isiyo yangu.

Wenzangu wote mkiambiwa mnaruka futi kumi.
Dhibitisha wewe sio cokakola bin cute mke[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tajeni na zinginee ID zangu, tena muwaambie modes waziungee.
 
Heri ya Jumapili kwa nyote.

Niende madani sasa.

Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?

Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?

Karibu!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Niliacha Kwa sababu hizi:
1.Matajiri kupendelewa
2.Niligundua wachungaji wengi ni maspy
3.Kuitwa KONDOO
4.Niligundua kumbe Mungu yupo nasi kila sehemu siyo kanisani tu.
5.etc,..etc,..etc.
 
Duh! Kwahiyo mimi uduguu cocastic na muda huo nakuwa amadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilishasema anayesema cute wife dume aje nimkaze shida iko wapi? Mbona fresh tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wenyee heka heka na JF, coca anawatesa mnoooo, wakimaliza kutaja I'd zangu zote, wanipe ruhusa nimuambie mode m1 hivi aziunge.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hujaona kkkt hapo juu, umewezaje kuni quote mimi bila kusoma hoja nzima? Mbona unatetea sana kkkt kuwa hakuna michango, au we ndiye mchungaji mhamasishaji wa kutoa michango? Tena huko kkkt ndio kuna michango mingi na mikubwa kuliko kwingine. Hayo mashule, vyuo na mahospitali ni michango ya waumini kwa kwenda mbele. Mshangao na maudhi ni pale muumini anachangia lakini akihitaji huduma hatatambuliwa kama alitoa mchango, watoto wake hawatasoma shule na vyuo alivyochangia
Umeongea kweli mkuu.
KKKT watatuua kwa michango jamani.

Mi naimba kwaya mkuu.
Naenda mazoezi mara 3 kwa wiki na kila siku natakiwa mchango wa kwaya na sadaka.Hapo ni mbali na kama kuna mwenzetu kafiwa/olewa/ugonjwa.

Kuna michango ya Jumuiya na.sadaka.
Then kuna michango utitiri ya kanisa.
Acha tu ila kwa Yesu raha
 
mama tamuu ktk moja na mbili.

Tuanzisheni chama chetu cha mashoga wa mtandaoni[emoji1787].
Mi najitangaza kabisa.
Jamani eeh mimi Clepatina
ni mwanaume nina ndevu na misuli.
Nina tukalio tudogo tugumu,tukavu,tumekauka na kusinyaa[emoji1787][emoji1787]
Wenzangu ni cute mke,kokakola ,mimihamadiweyupi, na ......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katibu ueneziii nipooooo, mashoga tuko winja winjaaaa, afu tunajikubaliii sasa na hatujifichiiiiiiii.

Raha ya kuwa Shoga uwe waziii jamii ikujadili, usipojadiliwa wee sio Shoga ni lijari uliye kwa mkopooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu na ushogaa wetuuu, na haturingiii wala nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom