Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Nilivyogundua wanatuambia tunamtolea Mungu alafu linakuja kapu la binadamu na kingine nikagundua kuwa Mungu hana duka ambalo anaendaga kununua vitu nikaona huu ni umavi tu kwa sababu mapastor wamenawili wafuasi wanatia huruma wakisubiria huruma ya Mungu nikaona kumanisha nini?
Wafuasi wamekonda kutokana na kukamuliwa vilivyo au siyo? ila life is not fair at all! Watoto wa pastors wengine wanasoma shule bora kabisa... watoto wa waumini wanapigwa na kwashakoo

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kumtumia baba yangu kuwapatia wadhamini baada ya muda mrefu mzee naye akawa haezi tena basi wakamtimua na kumfungia asije tena kanisani tena hadi tukafungiwa geiti na walinzi wa kanisani pale Arusha mjini kati lutherani na huyo mchungaji alikuwa anaitwa mchungaji laroya , baadae tena mzee kavamiwa na hela za kujenga kanisa na kwa vipigo vyakutosha akafa pale makaburini watu wakasema bora amekufa tujilie vyetu ila sijaamini kafa eti .

Ila waleo hiyo dayosisi imefulia kabisa
🤔🤔
 
Ngoja mwanasheria wangu atoke evening glory ndo ntaongea ya moyoni.

Inaonekana mim peke yangu ndo ninayefurahia kuitwa jinsia isiyo yangu.

Wenzangu wote mkiambiwa mnaruka futi kumi.
Dhibitisha wewe sio cokakola bin cute mke

Duh! Kwahiyo mimi uduguu cocastic na muda huo nakuwa amadi

Mimi nilishasema anayesema cute wife dume aje nimkaze shida iko wapi? Mbona fresh tu
 
Michango imezidi sana, michango yenyewe hainufaishi waumini moja kwa moja, mara mchango wa ujenzi, mara kiwanja, mara gari wakati we huna nyumba huna baiskeli huna biashara, hela inatakiwa tu. Usipotoa utatengwa au kupakaziwa una dhambi ufukuzwe
hio sio sababu ya kutokwenda sababu kutoa ni hiari fanya kile moyo wako unaona amani japo kuna michango n lazima kutoa kama sadaka, fungu la kumi kuhusu ujenzi ni kwa ajili yako ww sasa utasali kwenye nyumba gani usipojenga!!!au hata kama n kuwasaidia wengine ujenzi n sawa kikubwa hamna anaekulazimisha.
Kwenda kanisani ni lazima .
 
Jirani yangu kuna mganga wa kienyeji, sasa kuna siku nazunguka na wife, namuona mganga na mchungaji, wanaagana mchungaji anarudi kigoma, duh
Jirani yangu ni mama mchungaji aisee roho mbaya, matusi na madeni yanamsumbua, mpaka wapate sadaka ndio alipe
Yote padri kutembea na waimba kwaya wote wa kike, Padri kutembea na mke wa mtu hadi jamaa kwenda kwa Askofu kumsemea, mwisho Padri kulewa mpaka askari wa doria usiku wanamkamata ndio wanashtuka heee Father?
Roho imekuwa ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom