Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Umekuja I’d yangu nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Cocastic naambiwa na wewe ni I’d yangu pamoja na ya mtoa mada
Ndiyoooooo ni mtu m1, anabadilika kulingana na ID,
akiwa kwa ahmadi ni mwanaume lijariii, akiwa kwa coca ni shogaa, akiwaa kwa cute wife ni mwanamke.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeongea kweli mkuu.
KKKT watatuua kwa michango jamani.

Mi naimba kwaya mkuu.
Naenda mazoezi mara 3 kwa wiki na kila siku natakiwa mchango wa kwaya na sadaka.Hapo ni mbali na kama kuna mwenzetu kafiwa/olewa/ugonjwa.

Kuna michango ya Jumuiya na.sadaka.
Then kuna michango utitiri ya kanisa.
Acha tu ila kwa Yesu raha
sisi tuendelee kutoa tu, tutatoa kulingana na uwezo wetu pasipo kulemewa. Michango mingine kuipotezea haiwezekani kwa kuwa kila mara upo kanisani utaona aibu kama hutoi
 
Ndiyoooooo ni mtu m1, anabadilika kulingana na ID,
akiwa kwa ahmadi ni mwanaume lijariii, akiwa kwa coca ni shogaa, akiwaa kwa cute wife ni mwanamke.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu niwacheee mbona kali!! Alafu sasa hata haichekeshi anatafuta sympathy kupitia wengine
 
Ngojaa niongee na mode aunge chaaaap. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena ruksa mode waziunge km kweli na ya kwake iungwe tujue mbivu na mbichi asilete janja janja za nyani hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu niwacheee mbona kali!! Alafu sasa hata haichekeshi anatafuta sympathy kupitia wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF haijawahi kunisumbua, mwaka wa 4 huu.
Naswampaa na kutamba nitakavyoooo.

Labda km nyie ndo anawastuaa, mie hata mshipa hautikisikiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeeeeesssss ndo mie hapaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Blazaaa blazaaaaaa, na siringi wala nn

Haturingi kabisaa na wala sio shida zetu [emoji23][emoji23]
Itabidi unifundishe kingoni uduguu ili niwe naandika kwenye hii I’d
 
Tena ruksa mode waziunge km kweli na ya kwake iungwe tujue mbivu na mbichi asilete janja janja za nyani hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniacha hoiiiiii uduguuu bhanaa khaaah
 
Haturingi kabisaa na wala sio shida zetu [emoji23][emoji23]
Itabidi unifundishe kingoni uduguu ili niwe naandika kwenye hii I’d
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nakufundishaje, akati wee ndo miee, acha kuwachoraa watu hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF haijawahi kunisumbua, mwaka wa 4 huu.
Naswampaa na kutamba nitakavyoooo.

Labda km nyie ndo anawastuaa, mie hata mshipa hautikisikiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi toka 2015 nipo na hii I’d nawachora tu [emoji23]
Sitishiki na yeyote hakuna anayenijua hata kivuli changu sometimes kinanisahau [emoji2222]
 
Mimi toka 2015 nipo na hii I’d nawachora tu [emoji23]
Sitishiki na yeyote hakuna anayenijua hata kivuli changu sometimes kinanisahau [emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu umechachukaaa sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nakufundishaje, akati wee ndo miee, acha kuwachoraa watu hapa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanateseka mpk na fake I’d, mimi kwakweli waniletee niwakaze na dildo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katibu ueneziii nipooooo, mashoga tuko winja winjaaaa, afu tunajikubaliii sasa na hatujifichiiiiiiii.

Raha ya kuwa Shoga uwe waziii jamii ikujadili, usipojadiliwa wee sio Shoga ni lijari uliye kwa mkopooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu na ushogaa wetuuu, na haturingiii wala nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nyie mashoga vipi? Watu wanajadili mada iliyoko mezani nyie mnaleta mambo yenu ya ushoga. Anzisheni uzi wenu mjadili harakati zenu huko
 
Kifo kinathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeruhusu kifo kinachotenganisha wengi wapendanao kiwepo na kuwaacha na huzuni kubwa.

Hata unapojiona unathibitisha Mungu yupo, unathibitisha Mungu hayupo.
Wewe mbona huwezi thibitisha kutokuwepo kwa Mungu zaidi ya kujifungia kwenye box la sayansi tu.
Pasipo na kifo ni baada ya maisha haya ya Duniani
 
Back
Top Bottom