Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

nyie mashoga vipi? Watu wanajadili mada iliyoko mezani nyie mnaleta mambo yenu ya ushoga. Anzisheni uzi wenu mjadili harakati zenu huko
Walio anzisha hukuwakemea, ila ulipoona nimejibu ndo unanijia wima wimaa, hebu niwacheeee puliiiiiiizzzzz
 
Nakwambia hivi, hoja iko nje ya mada, na mimi sijasema babu yangu alijua kweli, namaanisha siwezi kukosa points za kutetea kanisa kwa sababu hata mimi ni mtoto wa kanisani.

Nisichotaka ni wewe kuja ku derail thread kwa kuleta mada off point.

Anzisha mada ya mazuri ya kanisa, naamini naweza kukuelewesha mengine ambayo huyajui kuhusu somo hilo pengine.
Sijazungumzia mazuri ya kanisa mkuu,
 
Sijazungumzia mazuri ya kanisa mkuu,
Umeandika hivi.

"Kama kuna ubaya ,bila shaka kuna wema pia".

Off point, irrelevant.

Mimi nakwambia usinywe haya maji, yamechanganyika na mkojo nusu kwa nusu.

Wewe unaniambia kama yamechanganyika basi kuna maji pia, unakunywa.
 
Heri ya Jumapili kwa nyote.

Niende madani sasa.

Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?

Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?

Karibu!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sasa unakutana na wanafiki kama kina mapengo ndio viongozi wa dini ,hiyo dini utaitafsirije?
 
Umejibu vema sana naweza kusema kuliko wote hapo juu. Umejibu swali hivyo kufuata itifaki. Mmoja ameuliza swali badala ya kujibu swali. Kumbe Kiranga ulikulia katika Ukristo na ulikuwa muhudhuriaji mzuri wa kanisani eeh?! Nimefurahi kufahamu, nime add kitu kichwani.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Unashindwa kuongeza maarifa unaongeza Kiranga kuwa mkiristo. Kichwa chako hakina kazi?
 
katibu ueneziii nipooooo, mashoga tuko winja winjaaaa, afu tunajikubaliii sasa na hatujifichiiiiiiii.

Raha ya kuwa Shoga uwe waziii jamii ikujadili, usipojadiliwa wee sio Shoga ni lijari uliye kwa mkopooo,

Watu na ushogaa wetuuu, na haturingiii wala nn
Coca weweee

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Unashindwa kuongeza maarifa unaongeza Kiranga kuwa mkiristo. Kichwa chako hakina kazi?
Mkuu nilishalijibu hilo. Mimi nikiuliza swali mtu akifuata protocol akanijibu kwanza badala ya kuuliza swali, huwa na appreciate sana. Na ndicho nilichofanya kwa Kiranga. Amejieleza vema pasipo kona kona, unlike others.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom