bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,301
Kwa sababu ulimwengu si milele ndo maana unaona shida zipo.Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Dunia ni makao ya mda mfupi ya Mwanadamu ili afanye matengenezo kabla ya mlango wa rehema kufungwa ili kuelekea kwenye umilele yaani kutokufa.


